The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naona pep kaamua kumwachia kabisa msaidizi wake kombe mwaka huu.

Keshaishiwa mbinu Apumzike kwa muda angalau timu iongozwe na mtu mwingine baadaye arudi. Apewe likizo ya lazima kama mch. Kimaro
Sio kamuaachia tuko vibaya mnoo ,saizi timu inacheza bila tactics, ....

Lewis pekee ndio anaonesha uhai ....
 
Kule mbele kumeoza kabisa ,haaland mzee wa kusubili mipira hovyo ,Alvarez hovyo ,Mahrez haforce kuingia kwenye box Tena , grealish hoi ....


Kiufupi this season is over mazee ,tupiganie top 4....
 
Nilijua tu spurs anatujulia vizuri ,mara ya mwisho kumfunga PL ilikuwa 2021 .....
 
Title contenders ni man u na arsenal guys tuwe wakweli ...

United Jana kadraw lakin mpira anaopiga unauona kabisa ....
 
Yani makosa kwenye build up yanatugharimu..tunakuwa tunapoteza mipira kwenye half yetu wenyewe..
tunafungwa kizembe mnoo
 
Ederson anatoa pass ya kijinga Kwa rodri akiwa kwenye msitu ,rodri anazidiwa sehemu ya kupiga ,anagawa pass ya Bure tunapigwa ....

Goli la pili rodri anamuacha Kane mpaka anashot Kwa ederson ....
 
Sipati picha arsenal watakavotuwashia moto ,kwa mpira huu ukutane na arsenal [emoji848][emoji848][emoji848][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
 
Haaland & ederson wakurudi uwanjani hatutapiga hata shot on target hata Moja ....
 
Ederson anatoa pass ya kijinga Kwa rodri akiwa kwenye msitu ,rodri anazidiwa sehemu ya kupiga ,anagawa pass ya Bure tunapigwa ....

Goli la pili rodri anamuacha Kane mpaka anashot Kwa ederson ....
jamaa wanacheza kama man u, wanakata upepo tu.
makosa yetu kwenye half yetu ndio yamewanufaisha.
 
Back
Top Bottom