Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sio kamuaachia tuko vibaya mnoo ,saizi timu inacheza bila tactics, ....Naona pep kaamua kumwachia kabisa msaidizi wake kombe mwaka huu.
Keshaishiwa mbinu Apumzike kwa muda angalau timu iongozwe na mtu mwingine baadaye arudi. Apewe likizo ya lazima kama mch. Kimaro
Wewe unaona Kuna hata goli tunaweza kufunga ?Kinachofata ni basi golini
Ubingwa kaka [emoji23]Tunagombania top 4 ,au Kuna lingine
jamaa wanacheza kama man u, wanakata upepo tu.Ederson anatoa pass ya kijinga Kwa rodri akiwa kwenye msitu ,rodri anazidiwa sehemu ya kupiga ,anagawa pass ya Bure tunapigwa ....
Goli la pili rodri anamuacha Kane mpaka anashot Kwa ederson ....
Mbio bado zipo wazi [emoji23]Defence yetu inatuangusha
Hatuna mashambulizi yeyote ya hatari mzee ,na sioni namna yeyote ya kuscore goal ...jamaa wanacheza kama man u, wanakata upepo tu.
makosa yetu kwenye half yetu ndio yamewanufaisha.