The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kipindi cha pili ndio tumecheza Mpira sasa....kipindi cha kwanza tulikua tunaruka masebene tu
Unajua hata first half sio kwamba tulicheza vibaya. Ni vile tulifanya makosa kidogo tu ambayo ndiyo yalitugharimu tukafungwa goli za haraka.
 
Game 2 za arsenal ndio zitatuonesha uelekeo,....


Hatupo on [emoji91]lakin arsenal wajiangalie ,...

Tulishakimbizana na Liverpool point 1
 
Mkuu hii ni spurs mbovu Sana ,yaani kiufupi Bado hatupo kwenye form ,...


Mimi nitaamua kama Bado ni title contenders tukikutana na arsenal ...
What we need is consistency.
hio itasaidia hata kujenga confidence kwa wachezaji kwamba they can get the shit on.
 
City player ratings vs spurs

Ederson- 4

Lewis- 8

Akanji- 5.5

Stones- 7.5

Ake- 8

Rodri- 7

Gundogan- 8

Grealish- 8.5

Alvarez- 7.5

Haaland- 7

Mahrez- 9
 
Wakuu hatuna budi kuwapongeza wachezaji kwa jitihada walizozionyesha kwa ushindi huu.Nothing like Mahrez on a cold winter night.
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "Today we were lucky. If we want to win something or compete - but complaining, complaining, complaining - no chance we will win anything."

"I don't recognise my team, they previously had the passion and desire to run. We are far away from the team we had in previous seasons. Do you think this comeback will happen every time? It won't.."

"Our fans they are silent for 45 minutes. I want my fans back, not my away fans, my away fans is the best. But my fans here.."

"Riyad Mahrez, what a player. Before the World Cup, he was on holiday. Now he has realised, 'Oh!'"

"We are a happy flowers team, all nice and good. I don't want to be happy flowers, I want to beat Arsenal. If we play in that way Arsenal will destroy us.."

“People say we haven’t had success because we haven’t won the UCL - bulls***!.. Two back-to-backs Premier League against this Liverpool, the way we played, in this country.."

"The players want it, but there is something here, in the clouds! I want a reaction from the whole organisation - not just the players.."

- You're not happy with your players?

[emoji2424] Pep Guardiola: "Of course I'm NOT!"

"I'm here and I just listen to Spurs fans... There is a tendency with human beings when you've won a lot... We have to give it to them."
 
[emoji2424] Jack Grealish: "It was silent in the dressing room and Pep Guardiola gave us encouragement for the second half.."
 
Tunahitaji winning spirit.

Kituo kinachofata ni wolves jumapili.
Tunahitaji kushinda ili kuongeza morali kwa wachezaji.
 
Tunahitaji winning spirit.

Kituo kinachofata ni wolves jumapili.
Tunahitaji kushinda ili kuongeza morali kwa wachezaji.
Pep kwenye interview kawalalamikia wachezaji mpaka mashabiki kwamba hawana passion na ule moyo wa kupambana huku akiweka exception ya Ake na Lewis.
 
Wakuu, tukiachana na ushindi wa jana, timu yetu inapumulia mashine.

kwasasa tunacheza kwa kutegemea bahati zaidi na si uwezo.

wachezaji tuliowatumia kwa kiasi kikubwa msimu uliopita hawako kwenye form.

Cancelo
De bruyne
Foden
Walker

Kuukosa ubora wa watu kama hawa ndio kunatufanya tunachechemea na kupata matokeo ya kuungaunga.

Game ya jana hatukucheza vibaya ukilinganisha na mechi zilizopita lakini bado kuna kitu kinakosena.

kumuacha kdb,cancelo na foden benchi nafikiri ni uamuzi mzuri maana mtu kama kdb anaonekana kuchoka.
 
Pep alisema tunakuwa butu si tu kwa sabababu tumekosa creativity, Bali hata wafungaji wa kutosha hawapo.

Tofauti na Haaland, hakuna runners wa kutosha kwenye box LA timu pinzani wa kuzicheza kross zinazoletwa tofauti na msimu uliopita.

Sasa hivi timu inamuangalia haaland pekee pale mbele ndio maana tunakosa presence ya kutosha kwenye box la timu pinzani na ndio maana tunazuilika kirahisi.

Timu pinzani ni either ina block ball supplies kwenda kwa haaland (man u, Everton)au zinabato na haaland physically kwa kuweka mabeki wenye miili mikubwa(Brentford, Liverpool).

Nafikiri ndio sababu ya pep kumuanzisha Alvarez na Haaland Jana ili kuongeza number ya wachezaji kwenye box la timu pinzani and it worked somehow.

Defence yetu pia ni mbovu mbovu mbovu.

Ilitakiwa kama hatuwezi kufunga magoli ya kutosha, basi angalau nasisi tusifungwe hovyohovyo. (refer msimu wa 2020/21).
Game ya kushinda 1: 0 inakuwa 1 : 1 au 1 : 2.
Defence ndio naona eneo linalotuangusha kwa kiasi kikubwa.
 
Defence yetu inavuja sio kwamba mabeki wetu ni wabovu, ni kwasababu hakuna muunganiko pale nyuma hasa kwenye center back. Tuko disorganized.

backline haija settle kila mda inafanyiwa rotation wachezaji wanakosa muunganiko.

Toka pep amekuja city ni msimu 1 tu ambao tulikuwa na solid defence, 2020-2021. Timu ilikuwa na backline ya center backs inayoeleweka, Ruben Diaz na Laporte bandika bandua.

Hata ukiangalia timu yoyote ile yenye au iliyowahi kuwa na solid defence, lazima kuna wale regular starters ambao wanatengeneza muunganiko na ndio wanakuwa mhimili nyuma. mfano

Real madrid (Ramos & Varane)

Liverpool (Van Dijk & Matip)

Chelsea ( Thiago silva & Rudiger)

Juventus (Cherllini & Bonucci)

City hata huwezi ukatabiri nani anaanza.
una Akanji,Laporte,Stones,Ake,Ruben na wote hakuna regular starter.

Kwa style hiyo hata angekuwepo Rio ferdinand au canavarro tungevuja tu sababu defence as a whole unit haiko organized, haina combination.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…