Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
No tactics..kipindi cha pili , energy na tactic zimatumikaa....Kipindi cha pili ndio tumecheza Mpira sasa....kipindi cha kwanza tulikua tunaruka masebene tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No tactics..kipindi cha pili , energy na tactic zimatumikaa....Kipindi cha pili ndio tumecheza Mpira sasa....kipindi cha kwanza tulikua tunaruka masebene tu
Unajua hata first half sio kwamba tulicheza vibaya. Ni vile tulifanya makosa kidogo tu ambayo ndiyo yalitugharimu tukafungwa goli za haraka.Kipindi cha pili ndio tumecheza Mpira sasa....kipindi cha kwanza tulikua tunaruka masebene tu
What we need is consistency.Mkuu hii ni spurs mbovu Sana ,yaani kiufupi Bado hatupo kwenye form ,...
Mimi nitaamua kama Bado ni title contenders tukikutana na arsenal ...
Hayo makosa ndiyo ambayo hayatakiwi.Unajua hata first half sio kwamba tulicheza vibaya. Ni vile tulifanya makosa kidogo tu ambayo ndiyo yalitugharimu tukafungwa goli za haraka.
Tuachane na hao kwanza ngoja tukamalizane na wolves....Game 2 za arsenal ndio zitatuonesha uelekeo,....
Hatupo on [emoji91]lakin arsenal wajiangalie ,...
Tulishakimbizana na Liverpool point 1
Pep kwenye interview kawalalamikia wachezaji mpaka mashabiki kwamba hawana passion na ule moyo wa kupambana huku akiweka exception ya Ake na Lewis.Tunahitaji winning spirit.
Kituo kinachofata ni wolves jumapili.
Tunahitaji kushinda ili kuongeza morali kwa wachezaji.
Pep alisema tunakuwa butu si tu kwa sabababu tumekosa creativity, Bali hata wafungaji wa kutosha hawapo.Wakuu, tukiachana na ushindi wa jana, timu yetu inapumulia mashine.
kwasasa tunacheza kwa kutegemea bahati zaidi na si uwezo.
wachezaji tuliowatumia kwa kiasi kikubwa msimu uliopita hawako kwenye form.
Cancelo
De bruyne
Foden
Walker
Kuukosa ubora wa watu kama hawa ndio kunatufanya tunachechemea na kupata matokeo ya kuungaunga.
Game ya jana hatukucheza vibaya ukilinganisha na mechi zilizopita lakini bado kuna kitu kinakosena.
kumuacha kdb,cancelo na foden benchi nafikiri ni uamuzi mzuri maana mtu kama kdb anaonekana kuchoka.