Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kumchezesha mchezaji nafasi mbalimbali kunategemea na versatility yake.Sio kocha anaamua tu fulani leo namuweka nafasi fulani.Mwanzo nilimuona kama RB na ni replacement ya walker ...
Baadae akawa anacheza kama wing back ...
Rico kuwa transformed kama attacking midfielders ni simple Sana ....
Pep huwa hana mambo ya kukalili sijui huyu ni complete LB ,au AMD ndio maana cancelo anaweza cheza Left winger ....japo watu wamekalili ni LB
Hapo maana yake umekubali hawezi kumreplace kdb kwasababu hawezi kubreak defence lines za timu pinzani kama ambavyo kdb hufanya.Ukitaka kujua reco kuwa attacking midfielders ni simple ,angalia pale timu inapokuwa na mpira inapossess kushambulia ....anavoingia kwenye position ya midfielders kufanya overloading ....anapenetration pass zilizonyooka 100%...
Ambacho hawezi ni kucheza kama kdb mwenyewe [emoji91]maana movement za kdb kuttack ,kupiga penetration pass ,kupiga long ball katikati ya defender ......sio mchezo ,....
Sio kwamba anaweza kucheza ila pep anaweza kumtransform ..Kumchezesha mchezaji nafasi mbalimbali kunategemea na versatility yake.Sio kocha anaamua tu fulani leo namuweka nafasi fulani.
Sioni Versatility ya Lewis kucheza kama attacking midfieder.
ukiachana na rightback, nafasi nyingine ambayo naona anaweza kuicheza ni holding midfielder kwasababu ni pressure resistant, ana high passing ability anauwezo mkubwa wa kurecover mipira na anaweza ku hold mipira.
Technically kwa sasa lewis hawezi kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.
Mkuu,Ukitaka kujua reco kuwa attacking midfielders ni simple ,angalia pale timu inapokuwa na mpira inapossess kushambulia ....anavoingia kwenye position ya midfielders kufanya overloading ....anapenetration pass zilizonyooka 100%...
Ambacho hawezi ni kucheza kama kdb mwenyewe [emoji91]maana movement za kdb kuttack ,kupiga penetration pass ,kupiga long ball katikati ya defender ......sio mchezo ,....
sijasema kwamba kila attacking midfielder anacheza kama kdbSio kwamba anaweza kucheza ila pep anaweza kumtransform ..
Sio kila attacking midfielders wanacheza kama kdb ,kdb yule ni level nyingine ,ndio maana ...
Mount ...
Ordegard....
Muller ...
Bruno Fernandes ...
Hao wote ni attacking midfielders ila hawachezi kama kdb ...
Jamani itoshe tu kusema kuwa msimu hatuko kwenye ubora unaostahili tuombe tu wachezaji wetu waongeze bidii binafsi kwa mechi zilizosalia.
Ufafanuzi mkuu., [emoji115]Oyoooooo,mwamba huyu hapaView attachment 2490643
Huyo anaitwa Maximo Perrone, mkata umeme anakuja city akitokea Velez sarsfield ya argentina.Ufafanuzi mkuu., [emoji115]
We putinyeto acha kuteseka.View attachment 2490914
Kila la kheri Wolverhampton
Acha tuone kama kuna dalili za kupona ugonjwa wetu[emoji838]
Cancelo na Foden benchi linawapenda skuizHii game ni 3+ point ,hakuna namna