The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ukitaka kujua reco kuwa attacking midfielders ni simple ,angalia pale timu inapokuwa na mpira inapossess kushambulia ....anavoingia kwenye position ya midfielders kufanya overloading ....anapenetration pass zilizonyooka 100%...

Ambacho hawezi ni kucheza kama kdb mwenyewe [emoji91]maana movement za kdb kuttack ,kupiga penetration pass ,kupiga long ball katikati ya defender ......sio mchezo ,....
 
Mwanzo nilimuona kama RB na ni replacement ya walker ...

Baadae akawa anacheza kama wing back ...
Rico kuwa transformed kama attacking midfielders ni simple Sana ....

Pep huwa hana mambo ya kukalili sijui huyu ni complete LB ,au AMD ndio maana cancelo anaweza cheza Left winger ....japo watu wamekalili ni LB
Kumchezesha mchezaji nafasi mbalimbali kunategemea na versatility yake.Sio kocha anaamua tu fulani leo namuweka nafasi fulani.

Sioni Versatility ya Lewis kucheza kama attacking midfieder.

ukiachana na rightback, nafasi nyingine ambayo naona anaweza kuicheza ni holding midfielder kwasababu ni pressure resistant, ana high passing ability anauwezo mkubwa wa kurecover mipira na anaweza ku hold mipira.

Technically kwa sasa lewis hawezi kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.
 
Ukitaka kujua reco kuwa attacking midfielders ni simple ,angalia pale timu inapokuwa na mpira inapossess kushambulia ....anavoingia kwenye position ya midfielders kufanya overloading ....anapenetration pass zilizonyooka 100%...

Ambacho hawezi ni kucheza kama kdb mwenyewe [emoji91]maana movement za kdb kuttack ,kupiga penetration pass ,kupiga long ball katikati ya defender ......sio mchezo ,....
Hapo maana yake umekubali hawezi kumreplace kdb kwasababu hawezi kubreak defence lines za timu pinzani kama ambavyo kdb hufanya.

kiungo mshambuliaji lazima uwe na uwezo wa kuichokonoa safu ya ulinzi ya timu pinzani.
 
Kumchezesha mchezaji nafasi mbalimbali kunategemea na versatility yake.Sio kocha anaamua tu fulani leo namuweka nafasi fulani.

Sioni Versatility ya Lewis kucheza kama attacking midfieder.

ukiachana na rightback, nafasi nyingine ambayo naona anaweza kuicheza ni holding midfielder kwasababu ni pressure resistant, ana high passing ability anauwezo mkubwa wa kurecover mipira na anaweza ku hold mipira.

Technically kwa sasa lewis hawezi kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.
Sio kwamba anaweza kucheza ila pep anaweza kumtransform ..

Sio kila attacking midfielders wanacheza kama kdb ,kdb yule ni level nyingine ,ndio maana ...

Mount ...

Ordegard....

Muller ...

Bruno Fernandes ...

Hao wote ni attacking midfielders ila hawachezi kama kdb ...
 
Ukitaka kujua reco kuwa attacking midfielders ni simple ,angalia pale timu inapokuwa na mpira inapossess kushambulia ....anavoingia kwenye position ya midfielders kufanya overloading ....anapenetration pass zilizonyooka 100%...

Ambacho hawezi ni kucheza kama kdb mwenyewe [emoji91]maana movement za kdb kuttack ,kupiga penetration pass ,kupiga long ball katikati ya defender ......sio mchezo ,....
Mkuu,
unamuona Rico lewis anaweza kufanya kile ambacho kevin, odegaard, bruno wanafanya?!

Rico anatumika kuongeza control ya timu katikati na kusaidia flow ya mipira kutoka nyuma kwenda mbele and he is doing well.

Hilo jukumu ni tofauti na jukumu la kuifungua safu ya ulinzi na kupiga mipira kwenye tight spaces.Inahitaji highly creative fellas like kevin, ode, bruno, iniesta, messi, modric e.t.c

you may say that the guy is still young, turned 18 recently kwamba anaweza aka evolve lakini sijaona uhitaji wa kumfanya lewis attacking mid.
 
Sio kwamba anaweza kucheza ila pep anaweza kumtransform ..

Sio kila attacking midfielders wanacheza kama kdb ,kdb yule ni level nyingine ,ndio maana ...

Mount ...

Ordegard....

Muller ...

Bruno Fernandes ...

Hao wote ni attacking midfielders ila hawachezi kama kdb ...
sijasema kwamba kila attacking midfielder anacheza kama kdb

Style za uchezaji zinatofautiana ila jukumu ni lilelile. kutengeneza nafasi.

Kuhusu kuwa transformed naweza nikakubali kwasababu bado umri unamruhusu kama kocha akiona umuhimu wa kufanya hivyo.
 
Its time now to deal with the "Haaland effect"

Msimu uliopita tulikuwa na wachezaji 8 ambao walikuwa na magoli 7+

Msimu huu ni wachezaji wawili tu ambao wana magoli 4+ na tofauti ya magoli kati ya wawili hao ni magoli 15.

The haaland effect.
 
Jamani itoshe tu kusema kuwa msimu hatuko kwenye ubora unaostahili tuombe tu wachezaji wetu waongeze bidii binafsi kwa mechi zilizosalia.
 
Game ya spurs imeonesha uhai ...

Kesho against wolves tutaona form ya team ikoje ...kabla ya kukutana na arsenal ....
 
Oyoooooo,mwamba huyu hapa
FB_IMG_1674331718972.jpg
 
Back
Top Bottom