The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Fans wa man city mnisamehe maana sina namna!!!
 

Attachments

  • article-3001347-26C7B7E800000578-335_636x395.jpg
    article-3001347-26C7B7E800000578-335_636x395.jpg
    6.9 KB · Views: 484
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hivi kwanini tunamfananisha Messi na Ronaldo? Messi ni hatari sana kwa team pinzani.
mkuu Messi ni habari nyingine.Some times huwa najiuliza kama huyu jamaa ni binadamu wa kawaida au yeye ni wa karne ya 70 but kaja karne hii kimakosa!!!
 
Hongera sana city kwa ushindi mnonu.. Nakutupoza machungu ya uefa champions league..
 
Hahahahahaa tarehe 12 sio mbali!
.kwa taarifa anbazo sijathibigisha Man City 0 CP 2

Hahahaha!! Walete tu tuwachape, ni kweli ndo matokeo sahihi, mm niliachia bao moja dakika ya 41 nikaenda zangu kulala, matokeo yake usingiz umegoma.
 
Back
Top Bottom