The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

leo ndani etihad stadium city ikicheza game yake ya kwanza ya uefa dhidi ya napoli fc.
 
mpaka mchezo unamalizika timu zote mbili zimetoka sare ya bao 1 - 1 uku mfungaji wa city akiwa ni koralov..
 
Naona hili kombe Man city waachie tu wakongwe!

Umeanza lini kuisupport mancity?

kwanza hao wakongwe wenye bado wanasuasua labda bayern na madrid ndio kidogo zimjitahidi kutokana na wao kucheza ugenini.

hapa mkuu Rejao itabidi kukomaa sana maana hawa bayern ni noma wanahasira kinoma itabidi kukaza tu..
 
Napoli%20Kolarov1.ashx

hapa ni kijana Kolarov akiwa kwenye mishemishe na kuhusu report ya gemu ya jana ingia humu
 
leo ndani ya fulham tukiwa ndani ya uzi wa mistari mieusi na miekundu..
viva la city..
 
leo city wanaanza kama kawaida yao mbele ni dzeko, kun aguero kati nasri, yaya toure, david silva na barry na nyuma ni clinchy, richards, lescott na kompany kipa hart

subs tevez, barotelli, toure..
 
Mkuu, yaani sare tu ukashindwa kumalizia hii hadithi yako jee mngefungwa si ungefuta kabisa hivi ulivyoandika hapa???!! Komaa mkuu chama lenu liko poa!
 
Mkuu, yaani sare tu ukashindwa kumalizia hii hadithi yako jee mngefungwa si ungefuta kabisa hivi ulivyoandika hapa???!! Komaa mkuu chama lenu liko poa!
Citty wako njema sema kama msimu uliopita kitakacho waangusha ni kucheza champions league inaonekana jamaa bado hawawezi kucheza two games a week wanachoka sijui.
 
Citty wako njema sema kama msimu uliopita kitakacho waangusha ni kucheza champions league inaonekana jamaa bado hawawezi kucheza two games a week wanachoka sijui.

mkuu hata mi naona hizi double itabidi tukaze sana vinginevyo inaweza kula kwetu..
 
Mkuu, yaani sare tu ukashindwa kumalizia hii hadithi yako jee mngefungwa si ungefuta kabisa hivi ulivyoandika hapa???!! Komaa mkuu chama lenu liko poa!

acha tu mkuu pad za simu niliona nzito balaa ila ukiwa shabiki kubaliana na yote..
 
Back
Top Bottom