Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifa mkuu.Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola anasema "kamwe" hawaambii wachezaji wake wacheze fauli, kauli aliyomjibu kocha mpinzani wake wa Manchester United, Jose Mourinho aliyesema kuwa upande wake unacheza "fauli za kupangwa". (Guardian)
Asante kwa taarifa mkuu.Today
League cup
22:45
LEICESTER CITY
Vs
MANCHESTER CITY
Asante kwa taarifa mkuu.Tetesi
DE BRUYNE MBIONI KUSAINI MKATABA MPYA CITY
Kevin De Bruyne anakaribia kusaini mkataba mpya wa muda mrefu Manchester City, kwa mujibu wa BBC .
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ameibukia kuwa mmoja wa viungo bora katika ulimwengu wa soka akiiwezesha timu ya Guardiola kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Uingereza kwa pengo la alama 11.
Asante kwa taarifa.Tetesi
Manchester City wanaangalia hali ya mambo ya mlinzi wa AC Milani Leonardo Bonucci mwenye miaka 30 ambaye inasemekana hana raha katika klabu hiyo.(Gazzetta dello Sport - in Italian)