Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawanyima wengi usingizi.Timu ya hela za mafuta club ya manchester city ilianzishwa mnamo mwaka 2008
Ninjejuw team yako ningekusaidia kidogo.Timu ya hela za mafuta club ya manchester city ilianzishwa mnamo mwaka 2008
Pambaneni mpate kuwemo top4 mwisho wa msimu maana naona mchuano wa top4 sio lelemamaSina shaka ubingwa ni wenu wakuu hongereni sana
Chelsea yangu na conte imekufa kabisa
Nafikiri sasa sio kuwania ubingwa tena bali kuwania top4Pambaneni mpate kuwemo top4 mwisho wa msimu maana naona mchuano wa top4 sio lelemama
Asante mkuuSina shaka ubingwa ni wenu wakuu hongereni sana
Chelsea yangu na conte imekufa kabisa
Ila tutafika tu tuendako mkuu. Usihofu. Tunakikosi kipana.Manager wa Manchester City Pep Guardiola , Amethibitisha kuwa mchezaji wake mahiri Leroy Sane aliyeumia Kiunga cha mguu katika mechi ya FA Cup iliyochezwa jumapili na Cardiff City anatarajiwa kuwa nje kwa majuma saba.
View attachment 689525
Sane atakosa mechi ya fainali ya kombe cha Carabao kati ya Manchester City na Arsenal hapo whembley na vilevile Champions League last 16 kati ya Manchester City na Basel.
View attachment 689526
Kukosekana kwa mchezaji huyu na hapohapo tumemkosa Alexis Sanchez, kumetuumiza sana sisi washabiki na nahisi safu ya ushambuliaji wa timu ya Manchester City wasipofanya mpango wa kumtafuta mbadala wake mapema kutaathiri yale Meno yetu. wakati hatuna tumaini la lini Gabriel Jesus atarudi uwanjani.
City wanabaki na front three wao pekee kina, Raheem Sterling, Bernardo Silva na Sergio Aguero.
View attachment 689529
Sure mkuu, tuna watu wengi wapo vizur na nafasi hawapati sana.... ukiangalia mtu kama Bernardo Silver mm namuamini sana naimani ata kocha akimuamini pia atapiga kazi nzuri wakati tukimsubiri SaneIla tutafika tu tuendako mkuu. Usihofu. Tunakikosi kipana.
Mkuu hata hii match yey ndo katoa pasi.Sure mkuu, tuna watu wengi wapo vizur na nafasi hawapati sana.... ukiangalia mtu kama Bernardo Silver mm namuamini sana naimani ata kocha akimuamini pia atapiga kazi nzuri wakati tukimsubiri Sane
Kijana yupo vizuri sana yani kule Monaco ndio alikua anamng'arisha MbappeMkuu hata hii match yey ndo katoa pasi.
Leo tumepatikana mkuu.Naona mambo si mambo huko viongozi