Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Dua zimefanyiwa kazi askari wangu sasa ata game ya arsenal hatutakua na hofu sanaMkuu wameangukia pua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua zimefanyiwa kazi askari wangu sasa ata game ya arsenal hatutakua na hofu sanaMkuu wameangukia pua.
Mechi ya Man U itakuwa ngumu pande zote, Maana hata Mou anasema wanataka kumsajili Isco ili kuizuia Man City ushindi.Tutakuja kufungika tu. Nina wasiwasi na Man Utd
Mkuu usajili huo utakuja tukiwa tumeshacheza.Mechi ya Man U itakuwa ngumu pande zote, Maana hata Mou anasema wanataka kumsajili Isco ili kuizuia Man City ushindi.
tetesi : (Man Utd want to stop Man City signing Real Madrid star Isco)
9 FEB 2018: Leo Pep amesema atarudi tena kwa Riyad Mahrez kipindi cha joto. maana bado anamkubali sana, japo mabosi wake walikataa dau la Leicester la £95m. (City walitaka isizidi £60m.)
Jukwa la majirani zetu umechungulia? Hali mbaya. Kelele kwenda...Dua zimefanyiwa kazi askari wangu sasa ata game ya arsenal hatutakua na hofu sana
Arsenal hawanipi shida sana. Sababu wanacheza soka la kushambulia. Na kwetu ukishambulia 80% unalala tu. Mi naogopa wale wakuvizia.Dua zimefanyiwa kazi askari wangu sasa ata game ya arsenal hatutakua na hofu sana
Sijapia huko tokea jioni, ngoja nitembeleeJukwa la majirani zetu umechungulia? Hali mbaya. Kelele kwenda...
Ukuta wetu sasa ukishambuliwa sana unavuja ndio tatizo hilo mkuu yani yanakuta game inaisha na magoli mengi, sasa aliemzidi mwenzie magoli ndio mshindi mwenyeweArsenal hawanipi shida sana. Sababu wanacheza soka la kushambulia. Na kwetu ukishambulia 80% unalala tu. Mi naogopa wale wakuvizia.
Mi nadhani sababu ni ile yakubadirisha wachezaji kila mechi.Ukuta wetu sasa ukishambuliwa sana unavuja ndio tatizo hilo mkuu yani yanakuta game inaisha na magoli mengi, sasa aliemzidi mwenzie magoli ndio mshindi mwenyewe
Kikosi kipana sana ndio maana unaona hivyo ....Mi nadhani sababu ni ile yakubadirisha wachezaji kila mechi.
Majeraha hapo ni sawa, lakin amezidi. Safu yetu ya ulinzi bado sana. Kule kuzoweana hakutakuwepo sasa.Kikosi kipana sana ndio maana unaona hivyo ....
pia kuna watu waliokua wanaaminiwa wakaanza kuleta upuuzi kama Stones sasa hapo lazima abadilishwe tu...
Kitu kingine majeraha ya wachezaji pia yanachangia kikosi kua kama kinyonga
Mambo vp kiongozi? Ebhn majukumu yalikua yanabana ila tupo pamoja.... vp kikosi kimetoka?Wakuu mbona kimya!! Mnakumbuka pambano la leo?
Cc:ndetichia, saharavoice
Mambo safi mkuu. Pole na majukumu. Kikosi kimetoka mkuu. Sijajuw kukiweka mkuu. Google Man City utakiona.Mambo vp kiongozi? Ebhn majukumu yalikua yanabana ila tupo pamoja.... vp kikosi kimetoka?
Mambo safi mkuu. Pole na majukumu. Kikosi kimetoka mkuu. Sijajuw kukiweka mkuu. Google Mam City utakiona.
Mkuu mineona 4 3 3Shukrani chief, kwahyo mfumo ndio huo nilio una kweli au? Mana naona 4.5.1
Ederson
Walker .. Otamend .. Laporte .. Zinchenko
Bernardo.. David silva .. KDB ... Sterling .. fernandinho
Aguero
Basi kila sehemu nao na kikosi chao sasa sijui kipi ni official?Mkuu mineona 4 3 3
Eders delph otamen kampany walker
Gud fernand kdb
Ster agu b.silv