The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Asante mkuu!!! Ukweli nikikosa match ya Man City huw nakosa amani kabisa.
Mimi nilikosa game ya mancity nikaenda kuangalia game ya Tot na Juv. halftime ndo nikaona matokea ya man city, kwa mwendo huu wao wanaweza chezesha juniors second leg. na ile squad yao ikakipiga barabara kwenye epl.
second leg ya Mancity haina umuhimu kwa sana maana wapo mbali sana. 4 - 0 (away goals) nguvu yao inaamia FA na epl na carabang
 
Screenshot_2018-02-14-07-11-17-1.png
Kwa takwimu kama hizo unaweza kuona ni jinsi gani jana cty wamepiga mpira mwingi sana.....
 
Kwa mpira aliopiga Jana ikay gundogani ni haki siliva akae nje amsubiri jamaa
Silva ni moto wa kuotea mbali, mechi zote city alizopoteza point, Silva hakuwepo.
Gundogani ni mzuri ila sio kwa kiwango cha silva. Gundogan kwenye 18 huwa ni mchoyo wa pasi na mipira mingi anapaisha halafu anang'ata kaulimi kake, huwa nakereka sana.
 
Mkuu nakubaliana na wew.
 
Back
Top Bottom