kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
Poa mkuu.D.Silva sijui ana nini tu ila acha tuassume kua ni rotatin ya kikosi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu.D.Silva sijui ana nini tu ila acha tuassume kua ni rotatin ya kikosi tu
Mkuu ujuw sijaenda kuangalia. Alafu najisikia vibaya ivi..Soon game inaanza Mungu tusaidie
Mkuu kulikoni?Ovyo
Pole sana mkuu ila ungepumzika tu mana hii game ishakua laini sanaMkuu ujuw sijaenda kuangalia. Alafu najisikia vibaya ivi..
Asante mkuu!!! Ukweli nikikosa match ya Man City huw nakosa amani kabisa.Pole sana mkuu ila ungepumzika tu mana hii game ishakua laini sana
Mimi nilikosa game ya mancity nikaenda kuangalia game ya Tot na Juv. halftime ndo nikaona matokea ya man city, kwa mwendo huu wao wanaweza chezesha juniors second leg. na ile squad yao ikakipiga barabara kwenye epl.Asante mkuu!!! Ukweli nikikosa match ya Man City huw nakosa amani kabisa.
Hahah! sawa mkuu ila show jana imeisha kizembe sana mm hapo naangalia hatua inayofuata tu japo mpira una maajabu lakini sio kirahisi hivyoAsante mkuu!!! Ukweli nikikosa match ya Man City huw nakosa amani kabisa.
Mkuu kapiga mpira mzuri sana?Kwa mpira aliopiga Jana ikay gundogani ni haki siliva akae nje amsubiri jamaa
Silva ni moto wa kuotea mbali, mechi zote city alizopoteza point, Silva hakuwepo.Kwa mpira aliopiga Jana ikay gundogani ni haki siliva akae nje amsubiri jamaa
Mkuu nakubaliana na wew.Silva ni moto wa kuotea mbali, mechi zote city alizopoteza point, Silva hakuwepo.
Gundogani ni mzuri ila sio kwa kiwango cha silva. Gundogan kwenye 18 huwa ni mchoyo wa pasi na mipira mingi anapaisha halafu anang'ata kaulimi kake, huwa nakereka sana.