The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The gunners [emoji13] [emoji1] [emoji119]
Yaani Wenger kwa kweli sioni kazi anayoifanya pale.
Mzee ujuzi umefika ukingoni ila bado wamiliki wanamkumbatia tu kisa anaingizia club pesa mingi sasa mashabiki ndio wanapata tabu, kama jana uwanjani kuna dogo ameonyeshwa analia vibaya mno
 
Ni siku nyingine tena ndugu zanguni naona leo tupo dimbani pale Emirates tukikaribishwa na wale wale Arsenal fc, itakua mida ya 22:45 kwa saa za Africa ya mashariki... Eeh Mungu tusaidie
 
Kikosi cha kazi leo
Screenshot_2018-03-01-22-10-52-1.png
 
Arsenal 0 vs Man city 1

Goal dk ya 15
[emoji460] ...bernardo
assist... Sane
 
Back
Top Bottom