kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
Ni kweli, mi naona ubingwa upo getini, tuombe Mungu atusogezee champions leagueUshabiki tu huo ila yote ya yote game sio rahisi sana kihivyo na lolote linawezekana dho nafasi kubwa ipo kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, mi naona ubingwa upo getini, tuombe Mungu atusogezee champions leagueUshabiki tu huo ila yote ya yote game sio rahisi sana kihivyo na lolote linawezekana dho nafasi kubwa ipo kwetu.
Tunahitaji kushinda game5 ilikua mabingwa, alafu kuna kitu nakiwaza kikitokea itakua noma sanaNi kweli, mi naona ubingwa upo getini, tuombe Mungu atusogezee champions league
Kitu gani mkuu?Tunahitaji kushinda game5 ilikua mabingwa, alafu kuna kitu nakiwaza kikitokea itakua noma sana
Kumaliza league tukiwa na points 100 maana sasa hv tunapoint 75 bado point 25 tu. Game zilizobaki ni 10 ambazo point zake ni 30.... ulishaiwaza hiyo mkuu?Kitu gani mkuu?
Duh!!! Mkuu ukweli sijaliwazia, ila naona kama ni ngumu. Tukifanikiw kuchukuw ubingwa mapema alafu tuwepo kwenye champions league, atakuw anatumia kikosi cha kawaida ili aepukane na majeruhi.Kumaliza league tukiwa na points 100 maana sasa hv tunapoint 75 bado point 25 tu. Game zilizobaki ni 10 ambazo point zake ni 30.... ulishaiwaza hiyo mkuu?
Ni ngumu kweli lakini nafasi hiyo bado ipo kama kocha mwenyewe akiamua kuweka hiyo recordDuh!!! Mkuu ukweli sijaliwazia, ila naona kama ni ngumu. Tukifanikiw kuchukuw ubingwa mapema alafu tuwepo kwenye champions league, atakuw anatumia kikosi cha kawaida ili aepukane na majeruhi.
Hahah!! Bingwa mtetezi kweli ila hali yake tete sana maana anagombea top4 tu sasaMkuu kumbe leo tunacheza na bingwa mtetezi?
Mkuu badae na weka sim chaji ili niw hewani wakati wa mtanange.Ni ngumu kweli lakini nafasi hiyo bado ipo kama kocha mwenyewe akiamua kuweka hiyo record
Hahah!! Bingwa mtetezi kweli ila hali yake tete sana maana anagombea top4 tu sasa
Endeed, We deserve, its our time we need more cupWazee nyie ndio mabingwa EPL sijaona wa kuwa stopisha
Go go go mpira mkubwa sana mnao