The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kumaliza league tukiwa na points 100 maana sasa hv tunapoint 75 bado point 25 tu. Game zilizobaki ni 10 ambazo point zake ni 30.... ulishaiwaza hiyo mkuu?
Duh!!! Mkuu ukweli sijaliwazia, ila naona kama ni ngumu. Tukifanikiw kuchukuw ubingwa mapema alafu tuwepo kwenye champions league, atakuw anatumia kikosi cha kawaida ili aepukane na majeruhi.
 
Ni ngumu kweli lakini nafasi hiyo bado ipo kama kocha mwenyewe akiamua kuweka hiyo record
Mkuu kumbe leo tunacheza na bingwa mtetezi?
Hahah!! Bingwa mtetezi kweli ila hali yake tete sana maana anagombea top4 tu sasa
 
Ni ngumu kweli lakini nafasi hiyo bado ipo kama kocha mwenyewe akiamua kuweka hiyo record

Hahah!! Bingwa mtetezi kweli ila hali yake tete sana maana anagombea top4 tu sasa
Mkuu badae na weka sim chaji ili niw hewani wakati wa mtanange.
 
Kikosi hicho wakuu
Screenshot_2018-03-04-18-45-16-1.png
 
FT statics ... City wamepiga mpira mzuri sana uongo dhambi pale England hakuna timu ya kucompt na City labda itokee bahati mbaya
Screenshot_2018-03-04-20-58-41.png
 
Back
Top Bottom