Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Kijana mjasiliamali kawekeza kwa muhindiNilikuw sijamuelewa mkuu. Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mjasiliamali kawekeza kwa muhindiNilikuw sijamuelewa mkuu. Hahahaha
Hahah!! Unikumbuka tu mkuuSporting cp nae naona anaongoza naomba game ziishe ivyoivyo nipate kapesa ka beer kesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huo sio mkeka tenaMkeka una buku 7 alfu game moja imeahirishwa sijui wakipunguza point nitapewa ngapi
Dau lake tuKwanini sio mkeka tena?
Na nyie bahatishenimnabahatisha tu
Ndio maana halisi ya kua na bahatimnabahatisha tu
Hahah!! Mpinzani kaachwa na gariWakuu toeni pole kwa jirani kagongwa na mkokotena.
Hahah! Hapana mkuu mashabiki tupo miaka mingi tu, ukipata muda fatilia posts za humu ndani utaona tupo toka kitamboAu mme hamia kutoka Arsenal?
HahahahHahah! Hapana mkuu mashabiki tupo miaka mingi tu, ukipata muda fatilia posts za humu ndani utaona tupo toka kitambo
Shukrani chief...Hahahah
hongereni bhana sina la kuwasema kwa sasa mmechagua fungu lilio jema
La arab money.
Kila heri
Timu nnazo shindwa kuzisema kwa sas ni mbili tuShukrani chief...
Nikweli mkuu tupo katika hali nzuri sana kwa sasa labda hapo baadae mambo yabadirike tuTimu nnazo shindwa kuzisema kwa sas ni mbili tu
Barca na City mko kwenye level zenu wenyewe yaan