Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Goal la kinyama sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goal la kinyama sana..
Heheh!! Hiyo kawaida tu sisi ni watani wa jadi bhana...Aaah pole na dongo humo humoooo
Heheh!! Hiyo kawaida tu sisi ni watani wa jadi bhana...
Hahah!! Sawa mtani asanteHaya mtani hongera zenu,zawadi hii hapaView attachment 874785
Babeq, kamba na nusu
Nini kilitokea katikati ya wiki kwenu maana sio man city niijuayo mimi ileShukrani sana mkuu, leo afadhari bhana...
Huyu B. Silva ana nyota ya kufunga sana
Huyu B.Siliva ana nyota ya kifunga sana.
Naona mmeshaanza kupolomoka na mechi ijayo mnakutana na liver efl carabao cup sijui kama mtapona..? By team cityNini kilitokea katikati ya wiki kwenu maana sio man city niijuayo mimi ile
Wakimataifa huyo ni noma sana moto wakuotea mbaliHuyu B. Silva ana nyota ya kufunga sana
Sijui nini shida mkuu ila itakua ni hali ya mchezo tuNini kilitokea katikati ya wiki kwenu maana sio man city niijuayo mimi ile
Huyo fundi mkuuHuyu B.Siliva ana nyota ya kifunga sana.