Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha wao anapajua pale Etihad naona alitaka kutuharibia sikuHawa wagonga nyundo walitaka kutupunguzia mwendo, wamekwama sasa haka ka 1 kanawatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo tu iwe kweliLeo wagonga nyundo wa London wamekuja kugawana point nanyi
Kidogo tu iwe kweli
Aprili 24: Man United v Man City ....... Natamani iwe keshoMechi kali za vigogo EPL
Machi 2: Tottenham v Arsenal
Machi 10: Arsenal v Man United
Machi 31: Liverpool v Tottenham
Aprili 14: Liverpool v Chelsea
Aprili 20: Man City v Tottenham
Aprili 24: Man United v Man City
Aprili 28: ManUnited v Chelsea
Kama bado hawajakutana na Liver basi nawatakia kila lakheriHAhahahahahhah
Westham dhidi ya timu kubwa za EPL huwa nawaelewa sana
Aprili 24: Man United v Man City ....... Natamani iwe kesho
Kama bado hawajakutana na Liver basi nawatakia kila lakheri
Hahahah yani mm naitamani hiyo team B yenu iliyomsumbua LiverpoolHebu tulia huko,majeruhi wetu wapone kwanza
Hahahah yani mm naitamani hiyo team B yenu iliyomsumbua Liverpool
Duuh safi sana kumbe tofauti ya hiyo point moja nao wana mchango wao mkubwaAhahhhahaha
Asante mkuu
Tulishakutana nao wakakaza tukadondosha point mbili
Hahahah jamani nyie mashabiki wa Man U mna maneno kweli, ila sio mbaya maana kocha wenu hajachelewa kwenye UefaHahaha wewe mwenyewe huwa inakutoa jasho. Man u team kubwa,Mou angetimuliwa mapema saiv tungekua kwenye mbio za ubingwa
Duuh safi sana kumbe tofauti ya hiyo point moja nao wana mchango wao mkubwa
Hao Leicester city mimi walinifanya kitu mbayaWao na Leicester city
Ahahahhaha