The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

City wametaka wenyewe kufungwa, hivi lazima Aguero apige penality? Sikuona kama ni mchezaji aliyejiandaa kupiga ile penality, anapiga utadhani yupo mazoezini bila kujali uzito wa mechi yenyewe! Ila sio mbaya City ana nafasi kubwa ya kusonga mbele, pale Etihad Spurs atapigwa nyingi sana!
 
Sure.
Hakupaswa kabisa.
Fundi wa penalty ni sterling

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: K M
Back
Top Bottom