goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Hope so.Hapana lazima kocha anajua kwann kaanza hivi, Mechi ngumu kama hii anaweka kikosi kibovu. nafikiri anajua kuwa ana mechi za ligi ngumu na ameona akipata droo leo ama -1 sio shida sana, atakazia mechi ya second leg.
Subiri uone kikosi chake second leo ama kwenye ligi tutakapokutana nao.
Mechi kama ya leo Tot alitakiwa kushinda 3 - 0.
Nimechukia ila simlaumu maana naelewa wazo lake.
Na vilevile nilisema jana kuwa kushinda mechi zote tatu kwa tot sio rahisi, ila tutapita. nilisema watashinda 1 - 0 na sisi tutampiga second leg na kufuzu. na ligi tunampiga
Inabidi tucheze kweli.
Leo nimekandwa mtaani balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app