The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

FB_IMG_15560174152060333.jpeg
 
Kwakwel hatuhitaj namba 9
Huyo felix na jovic tuwapotezee
 
Mechi ya city na utd wala syo ya kuigopa, city anashinda hapohapo OT na kma unataka pesa ya balimi tia pesa kwa city
 
Wacha city tutumie pesa kujenga timu.
Maana hakuna timi inayojengwa kwa kujitolea wachezaji.

Chelsea wametumia kiasi gan, man u kiasi gan,liverpool kiasi gan barca vp madrid na psg.
Wivu bwana mbaya sana
 
Ebwana eriksen ni mtu .
Anajua balaaa. Goli alilopiga leo atar
 
Back
Top Bottom