goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Wangekuwa wepesi sana kwetuIla hawa Ajax kwetu walikuwa wepesi ka manyoya
Hawana wing backs kabisa .
Na citt ni wazuri winger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangekuwa wepesi sana kwetuIla hawa Ajax kwetu walikuwa wepesi ka manyoya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hawa ni kuku kweli hawakuelewa nilimanisha wajiandae kupokea hukumu inayowastahili.Harafu kuku wanashangilia wamesahau ule usemi, mwenzio akinyolewa we tia maji
Hahah tupo pamoja mkuudaah kuna wanangu hawajaniangusha katika ukurasa wetu wa ETIHAD especially
#GOSWE
#DAVET
na wengine wengi tu
Another final loading ............. leces city
#citizen chairman am here
Huko nako kugumu kishenziView attachment 1083999
Hawa watashabikia timu zote.
Walipaswa kujikita na ucl tuuu.
Ili mwakan iwe zamu yetu kuchukua
So sadJohn hart to leave burnley for free.
Kweli kila kitu kina mwanzo na mwisho
Kesho tutaujua uzuri wa vvd na ubaya wake kiundan.
HafaiMessi is an animal