The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kesho mtiti tena
43 years record ya liverpool kutokufungwa na barca je itaendelea.
Ama itaendelea.
 
Ajax wanawapnga 4 fowards mbele.
Yan wanaposhambulia midfield zote ni foward
 
Awa jamaa wanacheza tik-tak ila wameimprove sana.
Mpira wao ni wakasi sana.
Inabidi uwe na age average ya below 24 kama walivyowachezaj wao
 
Kama pep akiweza kupiga pasi nyingi kati ya dimba na sio wide.
Sipatii picha itakuwaje.

Na game kama hii awa watoto wangetupa red kwa ndinho
Inabidi tu tuwe na mkabaji kinda sana. Mwenye pumzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuku wananifurahisha sana leo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120] king Messi hakunaga ubishi
 
Harafu kuku wanashangilia wamesahau ule usemi, mwenzio akinyolewa we tia maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hawa ni kuku kweli hawakuelewa nilimanisha wajiandae kupokea hukumu inayowastahili.
 
tapatalk_1556773553409.jpeg

Was he pep?
 
FB_IMG_15567738205884801.jpeg

liverpool in league,liverpool in ucl.
So where to leg
 
daah kuna wanangu hawajaniangusha katika ukurasa wetu wa ETIHAD especially

#GOSWE
#DAVET

na wengine wengi tu


Another final loading ............. leces city


#citizen chairman am here
Hahah tupo pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom