The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hakuna nchi inayoongoza kiubaguzi km Hispania ikifuatiwa na Germany, amka kijana acha kulala ndugu yangu kwani unaishi dunia ipi hadi usijue ukweli wote huo[emoji848][emoji56]
Hayo uliyoyaandika niliyajuwa vema.

Kuhusu upande wa wachezaji huwez kumpangia kocha nan ampange au asimpange.

Nimejaribu kufuatilia hayo sion walibagulia kwa mtindo upi?

Kuhusu ubaguzi tunaongoza Afrika basi tu hatuna uchumi imara duniani.
 
Ni kweli mkuu, Africa ndio wabaguzi namba moja. Ile rangi nyeusi kwenye bendera ya taifa maana yake nini? Hao wenzetu hapo juu kwani ni weusi? leo hii sterling anajiita European ila Patel pale kisutu akijiita mwafika unakataa.
 
Tuanzie wapi?
kwenye tranfer window
2018 summer window.

1. Liverpool splashed the most cash in the summer transfer window, with an outlay of £170.8million. Signings: Alisson Becker (Roma, £65m), Naby Keita (RB Leipzig, £52.8m), Fabinho (Monaco, £40m), Xherdan Shaqiri (Stoke, £13m), Bobby Duncan (free).
2. Chelsea made four new signings, at a total cost of £122million. Signings: Kepa Arrizabalaga (£71.6m), Jorginho (Napoli, £50.4m), Rob Green (free), Mateo Kovacic (Real Madrid, loan).

3. Fulham landed five new players on deadline day and 12 in total. They spent £110m. Signings: André-Frank Zambo Anguissa (Marseille, £30m), Jean Michael Seri (Nice, £25m), Aleksandar Mitrovic (Newcastle, £22m), Alfie Mawson (Swansea, £15m), Maxime Le Marchand (Nice, £7.5m), Joe Bryan (Bristol City, £6m), Fabricio Agosto Ramirez (Besiktas, £5m), Andre Schurrle (two-season loan, Borussia Dortmund), Calum Chambers (Arsenal, loan) Sergio Rico (Sevilla, loan), Luciano Vietto (Atletico Madrid, loan), Timothy Fosu-Mensah (Manchester United, loan).

4. Leicester City made seven signings, at a cost of £101.5m. Signings: James Maddison (Norwich City, £24m), Caglar Soyuncu (Freiburg, £19m), Ricardo Pereira (Porto, £17.5m), Filip Benkovic (Dinamo Zagreb, £13m), Danny Ward (Liverpool, £12.5m), Rachid Ghezzal (AS Monaco, £12m), Jonny Evans (West Bromwich Albion, £3.5m).

5. West Ham United made ten additions, spending around £92.6m. Signings: Felipe Anderson (Lazio, £35m) Issa Diop (Toulouse, £22m), Andriy Yarmolenko (Borussia Dortmund, £17.5m), Lukasz Fabianski (Swansea, £7m), Lucas Perez (Arsenal, £4m), Carlos Sanchez (Fiorentina, £4m), Fabian Balbuena (Corinthians, £3.5m), Xande Silva (Vitoria de Guimaraes, £3.1m), Jack Wilshere (Arsenal, free), Ryan Fredericks (Fulham, free).

6. Everton left it late to finish their business, adding three more players on deadline day to take their summer spending to around £86m. Signings: Richarlison (Watford, £40m), Yerry Mina (Barcelona, £28m), Lucas Digne (Barcelona, £18m), Joao Virginia (Arsenal, undisclosed), Bernard (free transfer), Andre Gomes (Barcelona, loan).

7. Arsenal ended the window with five new players, at a cost of £71.4m. Signings: Stephan Lichtsteiner (Juventus, free), Lucas Torreira (Sampdoria, £26.5m), Bernd Leno (Bayer Leverkusen, £19.2m), Sokratis Papastathopoulos (Borussia Dortmund, £17.7m), Matteo Guendouzi (Lorient, £8m).

8. Manchester United failed to land a host of their top targets, as they brought in just three players at a cost of £64.2m. Signings: Fred (Shakhtar Donetsk, £43.7m), Diogo Dalot (Porto, £19m), Lee Grant (Stoke City, £1.5m).

9. Wolves splashed out on 13 new players, spending £62.6million. Signings: Adama Traore (Middlesbrough, £18m), Diogo Jota (Atletico Madrid, £12.6m), Benik Afobe (Bournemouth, £10m), Willy Boly (Porto, £10m), Joao Moutinho (Monaco, £5m), Leo Bonatini (Al-Hilal, £5m), Ruben Vinagre (AS Monaco, £2m), Raul Jimenez (Benfica, loan), Rui Patricio (Sporting CP, free), Paulo Alves (Liverpool, free), Jonny Castro Otto (Atletico Madrid, loan), Leander Dendoncker (Anderlecht, loan), John Kitolano (Odds BKK, undisclosed).

10. Manchester City only made one major signing this summer, at a cost of £60m. Signings: Riyad Mahrez (Leicester City, £60m), Philippe Sandler (PEC Zwolle, undisclosed), Claudio Gomes (Paris-Saint Germain, free), Daniel Arzani (Melbourne City, undisclosed).
Sasa huyu anasem tumetumia mahela mengi . yeye anasahau wao wamesajili pesa za kutosha ama haoni.
 
IMG_20190512_221206_467.JPG

Cheki na hii
 
Wew ushawai kuishi huko?

Unaona tunavyowabagua wazungu sis? Sema tu dunia inatupuuza.

Kitu kingine ivi sis kuwaua ma-albino na vikongwe sio ubaguzi au wew ubaguz unaelewa vp?
Hakuna nchi inayoongoza kiubaguzi km Hispania ikifuatiwa na Germany, amka kijana acha kulala ndugu yangu kwani unaishi dunia ipi hadi usijue ukweli wote huo[emoji848][emoji56]
 
Sasa huyu anasem tumetumia mahela mengi . yeye anasahau wao wamesajili pesa za kutosha ama haoni.
Aambatanishe habari zilizochambuliwa kisoka toka SKY SPORTS, GOAL.COM ndizo official news, tofauti na hapo ni matango pori tu maana kila Mtu anao uwezo wa kuandika habari hata isiyo na ukweli akaitupia Google.
 
Safi sana mkuu ii inaweka wazi jinsi chelsea walivyofanya usajili wa kutosha misimu hii miwili

Ishu sio usajili mkubwa, ishu je hua usajili ulikua makini? Hata Man Utd ukitizama katika team zilizospend big katika last five years pia imo lakini je Usajili wao ulikua na tija gani? Chelsea squad imechoka na ndio moja ya Uliokua ugomvi mkubwa baina ya Conte na Management ya timu.

Mkuu Pedro na Willium hata uwatafutie kocha gani hakuna anaeweza kutimiza alau goli 10 kwa msimu achilia mbali assist. Huwez kuwa na forward kama hawa wakienda sambamba na mtu ka Girud halafu utegemee mafanikio.
Liverpool wamesaini central defender kwa 75m, City kwa 60m, Chelsea kwa 29 Pana usawa hapo? Chelsea hawezi shindana na City kwa ile squad walonayo, wanahitaji msasa wanguvu tena.
 
Yani akina Dani Alves wanacheza mpira pale Barca wakirushiwa maganda ya ndizi afu bado unakataa kuwa siyo Hispania, mahaba yatakutesa sana hadi ufe Kaka[emoji848][emoji851]
Wew ushawai kuishi huko?

Unaona tunavyowabagua wazungu sis? Sema tu dunia inatupuuza.

Kitu kingine ivi sis kuwaua ma-albino na vikongwe sio ubaguzi au wew ubaguz unaelewa vp?
 
Kurushiwa maganda ya ndizi tu ndiyo kigezo? Wew hapo ushawai kumtolea maneno ya kibaguz mara ngap De Bryne? Au Wyne Rooney aisee Afrika tungekuwa na uchumi tunaongoza kwa ubaguzi ila hujuw tu.

Pep muache tu
Yani akina Dani Alves wanacheza mpira pale Barca wakirushiwa maganda ya ndizi afu bado unakataa kuwa siyo Hispania, mahaba yatakutesa sana hadi ufe Kaka[emoji848][emoji851]
 
Ishu sio usajili mkubwa, ishu je hua usajili ulikua makini? Hata Man Utd ukitizama katika team zilizospend big katika last five years pia imo lakini je Usajili wao ulikua na tija gani? Chelsea squad imechoka na ndio moja ya Uliokua ugomvi mkubwa baina ya Conte na Management ya timu.

Mkuu Pedro na Willium hata uwatafutie kocha gani hakuna anaeweza kutimiza alau goli 10 kwa msimu achilia mbali assist. Huwez kuwa na forward kama hawa wakienda sambamba na mtu ka Girud halafu utegemee mafanikio.
Liverpool wamesaini central defender kwa 75m, City kwa 60m, Chelsea kwa 29 Pana usawa hapo? Chelsea hawezi shindana na City kwa ile squad walonayo, wanahitaji msasa wanguvu tena.
Kumbe ishu sasa sio hela tu.
Ila matumizi sahihi ya hizo hela.
Hapo ndipo napoikubali city pia.

Basi chelsea wabadilishe management ili misimu mi2 ijayo wawepo washindan wengi zaidi.
 
Tumechukua kombe kwa juhudi za kocha wetu, na wachezaji kujituma. hayo mengine ni yeye na wivu wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mara oooh UEFA tunakwama wap? Utafikir wao kila msimu wanachukua.
 
Kikosi cha Chelsea sio imara mkuu, Ukitoa Jorginho, Hazard na Pengine Emerson/ Alonso hakuna mchezaji mwengine anaeweza kupata kwenye kikosi cha City.
Ni kweli mkuu.
Hapo ni kweli..
Ila naona baada ya city na liverpool kwa kikosi wanfata chelsea.
Kama tu table inavyoonyesha.
 
PEP leo hakuwa na furaha sana .
Inaonyesha uefa ilimuumiza sana.
Next season kutachimbika sio siri.
 
Yani akina Dani Alves wanacheza mpira pale Barca wakirushiwa maganda ya ndizi afu bado unakataa kuwa siyo Hispania, mahaba yatakutesa sana hadi ufe Kaka[emoji848][emoji851]
If you're gonna talk about something at least take 10 seconds to study it a little. umesahau tuliitwaje hapa? na kwanini?
“Why are we having all these people from shithole countries come here?”
embu tusiongelee haya mambo ya wabaguzi ooh mm mwafika ndio bora oooh mm mzungu ndio bora. turudi kwenye mpira.

who won today?
 
Ni kweli mkuu.
Hapo ni kweli..
Ila naona baada ya city na liverpool kwa kikosi wanfata chelsea.
Kama tu table inavyoonyesha.
Chelsea ipi? hii tuliyowapiga 6 - 0 ? kwakwel zile timu za zamani kama man u , chelsea , arsenal zimeshaanza kupotea taratibu. msimu uliopita tulimuacha man u kwa point 19. ndo alikuw amshindi wa pili huyo. msimu huu sijui tumewaacha kwa point ngapi.
 
25 btn liverpool na chelsea
 
Back
Top Bottom