Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Kimmich amehojiwa akasema hivyowewe ni mke wa sane?[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimmich amehojiwa akasema hivyowewe ni mke wa sane?[emoji41]
Dogo ondoka tu hapo
Nenda Bayern Munich timu kubwa duniani sio Man City timu ambayo inakunyima namba halafu haina hata history
Bayern Munich pale namba uhakika
O.kView attachment 1170069
Bayern wamekanusha
Wachezaji wa Liverpool wakiwakamia mnakufa nyingi sanaHawa liverpool j pili panatakiwa tuwapige gori za kutosha ili maisha yawe mepesi, league ikiaanza
Kwa city hiki kisahan kinamaana kwa washabiki.Hawa liverpool j pili panatakiwa tuwapige gori za kutosha ili maisha yawe mepesi, league ikiaanza
u normal wake nini?Man city hii sasa itakuwa normal sana.
Ananyimwa namba au kuna watu wamemzidi uwezo..?Dogo ondoka tu hapo
Nenda Bayern Munich timu kubwa duniani sio Man City timu ambayo inakunyima namba halafu haina hata history
Bayern Munich pale namba uhakika
Ila Chelsea itakuwa bora sana...Man city hii sasa itakuwa normal sana.