The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii draw naona imelenga kuzikutanisha timu fulan zilizofanyiana ukatilli mzim uliopita.
Timu kali zote zinauhakika wa kupita,kimbembe kinakuja kwenye KO.

Na ss mfumo wetu wa tik tak tusipobadili uefa itatukost sana .
Mambo ya "" ni replace"" naenda kushambulia sio Uefa.
Halafu ilikundi la city jepesi mpaka kero, msimu uliopita timu zilizopita kimazabemazabe group stage ndo zimefika final kwa sababu walipata challenge za kutosha sana.

Natimu zingine zinazobahatisha bahatisha UEFA kama liverpool sijui ata zilifikaje FINAL
Liver anabahatisha uefa? Je city si atakua anambwela mbwela, since 2005 4 final, while city a single semi, muda mwingine ni bora kuficha ujinga.
 
Bange mbaya kweli! Hotuba hii ya Cantons imewaacha watu hoi.

"Soon science will not only be able to slow down the ageing of cells, it will fix cells and so we will become eternal. Only accidents, crimes, wars will kill us but unfortunately crimes and wars will multiply. I love football. Thank you."
Hahaha sasa hii inahusiana vp na mpira.
Uyu jamaa anadata sio siri
 
Timu nyingi zilikuwa zinaishawishi UEFA ifungie city Uefa, na hamna cha kufungiwa.
Jinsi timu zinavyoogopa.

Anyway liverpiil japo kachukua Uefa ila bado anachukuliwa Underdog sijui zarau gani izi !!
 
Game ya lyon we acha tu.
Hatukuwafunga kabisa.
Etihad walitufunga 2:1
Kwao sare 1:1
Kuna maneno mtaani kwamba tiki taka haifui dafu UEFA. Juve na mpira wao miaka mitano iliopita wamecheza fainali mbili za UEFA meanwhile Barca in past five years 0 finals
 
Kushinda UCL is not based on how much you spend.
There are other X factors such as tradition, pedigree etc. something that teams like ManCity or PSG lack
 
Kuna maneno mtaani kwamba tiki taka haifui dafu UEFA. Juve na mpira wao miaka mitano iliopita wamecheza fainali mbili za UEFA meanwhile Barca in past five years 0 finals
Io Ni kweli kabisa.
Unajua tatizo linakuwa tik tak ndo mambo ya total football.
Ukienda kushambulia mcheza wa nyuma yako anakuja kucheza nafasi yako.
Sasa uefa ni top clubs,yani first 11 hazipishani sana. Kwaio ukicheza ukicheza total football watu uefa hawapaki basi kwa sababu wachezaji wanauwezo,wanakuacha na beki zao ukipoteza mpira imekula kwako.

Hii ndo inamcost pep anapokutana na timu ambayo kikosi chake cha kwanza kinalingana lingana na kikosi chake basi io ujue kashapigwa.

Na ubaya uefa unaingiza first 11 tu hata uwe na kikosi kipana vp watacheza watu 11 tu, kwaio kwa uefa inagonga mwamba tofaut na ligi,unacheza na timu nyingi ndogo ndogo hazina uwezo,foward hazitishi kivile. Ndomana hizi timu zetu mbili zinaboronga kwa wakati huu.

Upgrade ya tik tak nayoikubali uefa ni mfumo wa tenhag na ajax yake,unapiga pasi nyingi za haraka unatembea.
Sio pasi za kivivu ambazo nimeziona against spurs.
 
Bahati?

Liverpool anaweza chukua tena
Liverpool bado ni tishio uefa.
Klopp yupo serious sanaa sanaaa.
Kiufupi klopp anaijua knockout stages vizuri kuliko kocha yoyote
Nadhani nyakati ngumu alizopitia zimempa somo sana.
Sasa pep unaweza shangaa mwaka huu tena akaacha majembe nje ili apoteze ugenini. Yan hajajua bado umuhim wa away goal. Halafu pia bado city haina mtu tactical analysis mzuri .
Game inaweza kuwa ngumu sana sub za akili hamna tangu sane alipokosa namba.

Alafu anfield inawabeba sana liverpool.

Txiki managing director ameongea umuhimu wa uefa nadhan Guardiola anabadilisha mambo mengi mwaka hu.
 
Back
Top Bottom