Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 675
- 1,011
Liver anabahatisha uefa? Je city si atakua anambwela mbwela, since 2005 4 final, while city a single semi, muda mwingine ni bora kuficha ujinga.Hii draw naona imelenga kuzikutanisha timu fulan zilizofanyiana ukatilli mzim uliopita.
Timu kali zote zinauhakika wa kupita,kimbembe kinakuja kwenye KO.
Na ss mfumo wetu wa tik tak tusipobadili uefa itatukost sana .
Mambo ya "" ni replace"" naenda kushambulia sio Uefa.
Halafu ilikundi la city jepesi mpaka kero, msimu uliopita timu zilizopita kimazabemazabe group stage ndo zimefika final kwa sababu walipata challenge za kutosha sana.
Natimu zingine zinazobahatisha bahatisha UEFA kama liverpool sijui ata zilifikaje FINAL