The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

joanah Una hali ngumu sana hivi sasa kila unapoenda ni vipigo tu.

Kuna mtu alinifundisha kwamba team ikishinda tunakuwa tumeshinda wote....ikifungwa wamefungwa wao sio mimi
Tukishinda nashangilia,wakifungwa watajua wenyewe

Najaribu kuishi na hili ☝👆

So matokeo yoyote niko okay nayo kwa sasa....sina hata dalili ya hali ngumu
 
Back
Top Bottom