The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

man city wachezaji wake wote hakuna hata 1 anaeweza kupata namba fc barcelona,labda kipa joe hart na kwa mbali david jimanez silva wengine wote bench wakisajiliwa nou camp
 
Man hata nasri,clch wapo ila kocha ni mdebwedo. Ile tim ni ya ze special one tu
 
man city wachezaji wake wote hakuna hata 1 anaeweza kupata namba fc barcelona,labda kipa joe hart na kwa mbali david jimanez silva wengine wote bench wakisajiliwa nou camp

sisi hatupendi kubebwa kina sergio busqeuts nane silva mmoja na tafuta mwngine wa hiyo timu ya uefa umlinganishe na samir nasri..
 
yesterday game what a win yaani mpaka tevez kashinda basi itakuwa nzuri sana

FT City 4 - 0 Wigan
 
sisi hatupendi kubebwa kina sergio busqeuts nane silva mmoja na tafuta mwngine wa hiyo timu ya uefa umlinganishe na samir nasri..
huyo silva wako 2010 hakuna hata mechi 1 kamaliza dk 90,sergio busquest i burgos kacheza mechi zote,silva kaanza siku hizi kupata namba fury roja 7bu kocha anataka kuondoa ucatalonia ambao madrid wanalalamika kuwa wachezaji wengi 95% wanatoka aidha fc barcelona au wamezaliwa barelona catalonia ile timu ya spain world cup 2010,huyo silva mmemjua juzi kuja money city wapo wengi spain la liga wazuri kuliko yeye,huyo yaya toure kakimbizwa na sergio fc barcelona,kina samir nasri wako uozo wanaonekana mechi mdebwedo sijui wolves,west bromwich,mechi ya bayern munich kule munich alikuwa flop of the match,kina sergio aguero kun wamejulikana kwenu juzi,si alikuwepo atletico madrid,acha kucheza na spain,ligi yenu mdebwedo na tajiri akiitema timu mnashuka daraja,england hata wigan chenge akinunua kila m2 atashabikia wigan,sidhani kama kuna shabiki wa man city 2009 tusiende mbali,england washabiki kitambo ni man utd,arsenal na liverpool na leeds na newcastle asprilla,cole shearer enzi zao hakukuwa na chelsea wala man city money city rap bonanza enzi hizo hapo zamani,nyie kizazi cha pesa bongo fleva tu,hamuwezi kujilinganisha na fc barcelona hata kwa nukta,ile timu bora ya dunia kwa sasa
 
hii ni city na itaendelea kuwa man city na haiwezi kamwe kuwa barca..
 
Big up mkuu...umeongea vyema. Nashindwa tu kukugongea like na haka kamchina kangu.

Ndetichia naona umebaki tu mpoleee!
 
Today's Match
Game: Norwich City v Man City
Venue: Carrow Road - Norwich
Time: 12:45 PM GMT (15:45 PM TZ)
Referee: C Foy
 
Mkuu hizi salamu mbona zina kilo nyingi sana.Haya bwana ngoja tuwasubiri A.Villa.

Jamaa wamegundua kitu! Wanajiandaa na Ubingwa wa EPL iwapo Man United wataendelea kudrop points kizembe. GD yao ni balaa.
 
8 mbele na katika hizo 8 goals mcheza gofu anazake 4 na kun zilizobaki..
 
Jamaa wamegundua kitu! Wanajiandaa na Ubingwa wa EPL iwapo Man United wataendelea kudrop points kizembe. GD yao ni balaa.

Hiyo nayo sio plan mbaya title race bado mbichi ila kwa navyomjua Ferguson kashapiga mahesabu makali kazi ipo.
 
tevez_2749490.jpg

From zero to hero, Carlos Tevez claims the matchball with a hat-trick.

CarlosTevez_2749505.jpg

After spending months perfecting his swing, Tevez shows us what he has learnt this season.

tevez3_2749500.jpg

Tevez's third is a gift from Norwich defender Ryan Bennett, his tame backpass allows the City striker to round the keeper and slot home.

Carlos-Tevez-Sergio-Aguero-Manchester-City-Pr_2749533.jpg

tevez1_2749512.jpg

Man City take the lead after 18 minutes when Carlos Tevez shoots from a difficult angle and catches John Ruddy off-guard at his near post.

aguero1_2749518.jpg

Aguero makes 2-0 with an unstoppable drive after being tee-ed up by his fellow Argentinian team-mate Carlos Tevez.

surman_2749506.jpg

Andrew Surman grabs a goal back for Norwich early in the second half, he keeps his cool to find the net after a poor clearing punch from Joe Hart.

tevez2_2749496.jpg

Tevez's second comes from a header on 73 minutes, John Ruddy spills a shot from Yaya Toure which the Argentinian wins in the air to find the net.

aguero_2749513.jpg

Aguero gets a second just minutes after Tevez had made it 3-1, cutting in from the right and bending a curling effort into the top corner.

AdamJohnson_2749492.jpg

Adam Johnson wraps up with the scoring with a simple tap-in on 90 minutes.
 
Back
Top Bottom