Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
man city wachezaji wake wote hakuna hata 1 anaeweza kupata namba fc barcelona,labda kipa joe hart na kwa mbali david jimanez silva wengine wote bench wakisajiliwa nou camp
huyo silva wako 2010 hakuna hata mechi 1 kamaliza dk 90,sergio busquest i burgos kacheza mechi zote,silva kaanza siku hizi kupata namba fury roja 7bu kocha anataka kuondoa ucatalonia ambao madrid wanalalamika kuwa wachezaji wengi 95% wanatoka aidha fc barcelona au wamezaliwa barelona catalonia ile timu ya spain world cup 2010,huyo silva mmemjua juzi kuja money city wapo wengi spain la liga wazuri kuliko yeye,huyo yaya toure kakimbizwa na sergio fc barcelona,kina samir nasri wako uozo wanaonekana mechi mdebwedo sijui wolves,west bromwich,mechi ya bayern munich kule munich alikuwa flop of the match,kina sergio aguero kun wamejulikana kwenu juzi,si alikuwepo atletico madrid,acha kucheza na spain,ligi yenu mdebwedo na tajiri akiitema timu mnashuka daraja,england hata wigan chenge akinunua kila m2 atashabikia wigan,sidhani kama kuna shabiki wa man city 2009 tusiende mbali,england washabiki kitambo ni man utd,arsenal na liverpool na leeds na newcastle asprilla,cole shearer enzi zao hakukuwa na chelsea wala man city money city rap bonanza enzi hizo hapo zamani,nyie kizazi cha pesa bongo fleva tu,hamuwezi kujilinganisha na fc barcelona hata kwa nukta,ile timu bora ya dunia kwa sasasisi hatupendi kubebwa kina sergio busqeuts nane silva mmoja na tafuta mwngine wa hiyo timu ya uefa umlinganishe na samir nasri..
huyo silva wako 2010 hakuna hata mechi 1 kamaliza dk 90,sergio busquest i burgos kacheza mechi zote,silva kaanza siku hizi kupata namba fury roja 7bu kocha anataka kuondoa ucatalonia ambao madrid wanalalamika kuwa wachezaji wengi 95% wanatoka aidha fc barcelona au wamezaliwa barelona catalonia ile timu ya spain world cup 2010,huyo silva mmemjua juzi kuja money city wapo wengi spain la liga wazuri kuliko yeye,huyo yaya toure kakimbizwa na sergio fc barcelona,kina samir nasri wako uozo wanaonekana mechi mdebwedo sijui wolves,west bromwich,mechi ya bayern munich kule munich alikuwa flop of the match,kina sergio aguero kun wamejulikana kwenu juzi,si alikuwepo atletico madrid,acha kucheza na spain,ligi yenu mdebwedo na tajiri akiitema timu mnashuka daraja,england hata wigan chenge akinunua kila m2 atashabikia wigan,sidhani kama kuna shabiki wa man city 2009 tusiende mbali,england washabiki kitambo ni man utd,arsenal na liverpool na leeds na newcastle asprilla,cole shearer enzi zao hakukuwa na chelsea wala man city money city rap bonanza enzi hizo hapo zamani,nyie kizazi cha pesa bongo fleva tu,hamuwezi kujilinganisha na fc barcelona hata kwa nukta,ile timu bora ya dunia kwa sasa
Big up mkuu...umeongea vyema. Nashindwa tu kukugongea like na haka kamchina kangu.huyo silva wako 2010 hakuna hata mechi 1 kamaliza dk 90,sergio busquest i burgos kacheza mechi zote,silva kaanza siku hizi kupata namba fury roja 7bu kocha anataka kuondoa ucatalonia ambao madrid wanalalamika kuwa wachezaji wengi 95% wanatoka aidha fc barcelona au wamezaliwa barelona catalonia ile timu ya spain world cup 2010,huyo silva mmemjua juzi kuja money city wapo wengi spain la liga wazuri kuliko yeye,huyo yaya toure kakimbizwa na sergio fc barcelona,kina samir nasri wako uozo wanaonekana mechi mdebwedo sijui wolves,west bromwich,mechi ya bayern munich kule munich alikuwa flop of the match,kina sergio aguero kun wamejulikana kwenu juzi,si alikuwepo atletico madrid,acha kucheza na spain,ligi yenu mdebwedo na tajiri akiitema timu mnashuka daraja,england hata wigan chenge akinunua kila m2 atashabikia wigan,sidhani kama kuna shabiki wa man city 2009 tusiende mbali,england washabiki kitambo ni man utd,arsenal na liverpool na leeds na newcastle asprilla,cole shearer enzi zao hakukuwa na chelsea wala man city money city rap bonanza enzi hizo hapo zamani,nyie kizazi cha pesa bongo fleva tu,hamuwezi kujilinganisha na fc barcelona hata kwa nukta,ile timu bora ya dunia kwa sasa
Big up mkuu...umeongea vyema. Nashindwa tu kukugongea like na haka kamchina kangu.
Ndetichia naona umebaki tu mpoleee!
FT NC 1 - 6 City..
Mkuu hizi salamu mbona zina kilo nyingi sana.Haya bwana ngoja tuwasubiri A.Villa.
Jamaa wamegundua kitu! Wanajiandaa na Ubingwa wa EPL iwapo Man United wataendelea kudrop points kizembe. GD yao ni balaa.
Mkuu hizi salamu mbona zina kilo nyingi sana.Haya bwana ngoja tuwasubiri A.Villa.
Jamaa wamegundua kitu! Wanajiandaa na Ubingwa wa EPL iwapo Man United wataendelea kudrop points kizembe. GD yao ni balaa.
hizo ni sala,u kwa mancini kwamba anaubania ushindi wa city kwa kumuacha mno balomtukutu..