Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Ni mapema sana kujitutumuaHawa ni viumbe na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mapema sana kujitutumuaHawa ni viumbe na nusu
City bila hata kdb inawezekana
Kuna mido Kali sana
B Silva
Gundogun
Rodrigo
Frenandihno
Foden
Hao wote wanaweza kupata matokeo anfield
Hawa ni viumbe na nusu
Wewe jamaa sometimes huna akiliUna struggle kwa SU kisha unasema hawa viumbe hatari?
Wkt Liverpool katoka kwenye crisis,Man C bila KDB ndiyo wanaingia kwenye crisis
Hii perfomance huwezi pata sare Anfield wala kwa Spurs wala kwa LC
Liverpool tumeisha tetea ubingwa wetu
Mkuu hii fixture isikutisheTough fixture sasa inakaribiaView attachment 1690271
Burnely kakufanya nini hapo anfield kiazi weweHiki kiwango na Sheffied huwezi kuwa bingwa wa EPL!
No KDB no creativity
Nakudunda Anfield kisha inayo fuata na Spurs na na baadae na LC
Hamna team hapo
Burnely kakufanya nini hapo anfield kiazi wewe
Sometimes nasemaga ,liverpool fans ni matakataka tu
Ulishindwa kumfunga hata goli moja chumbani kwako
Mkuu hii fixture isikutishe
Point tunatoka nazo kuanzia hapo anfield
Na wengine ni mwendo wa kugonga tu
Ungekuwa top ningekusikilizaSina Mane
Sina VVD
Sina Gomez
Sina Matip
Sina Fabihno
Sina Jota
Bado nashinda 3 kwa inform WHU
Ww hauna tu KDB mechi na trash SU umecheza kama Bata na bado una amini utampokonya Liverpool ubingwa?
Kweli maajabu hayataisha duniani
Liverpool tunaenda tetea ubingwa wetu
Na kile kilikuwa kikosi chetu dhaifu zaidi kama ulkuwa hujuiUna struggle kwa SU kisha unasema hawa viumbe hatari?
Wkt Liverpool katoka kwenye crisis,Man C bila KDB ndiyo wanaingia kwenye crisis
Hii perfomance huwezi pata sare Anfield wala kwa Spurs wala kwa LC
Liverpool tumeisha tetea ubingwa wetu