The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Final whistle
IMG_20210207_213842_236.jpg
 
Keeper wangu give you a game!
Siku ya ubora wake hii mechi ningeshinda 1-0!
Bao la kwanza mpira rahisi sana kadaka kaachia
Bao la pili na tatu hadi aibu
Goli la nne kakwepa mpira
Anyway hongereni kwa ushindi lkn maneno yangu kama beki yenu haijawa tested leo yametimia!

Hingereni Citizen lkn team bora uwanjani Liverpool imepoteza mchezo
 
Yeah mmecheza sana mpira.
 
Pep Guardiola on #ManCity missing penalties: "Maybe I am going to think about Ederson taking it the next time."
 
Jurgen Klopp: "At 3-1 down, that's tough to take and then Phil Foden with the 𝗚𝗘𝗡𝗜𝗨𝗦 situation to score the fourth goal..." [emoji57][emoji92]
 
Nadhani kipa wangu leo kapata tatizo la kisaikolojia!
Man City sio team ya kutisha kabisa,hata bila beki bado Liverpool wanamuweza
Kipa wangu kakupa hii game,hata nyie mnajua
Lkn ndiyo soka
 
Nadhani kipa wangu leo kapata tatizo la kisaikolojia!
Man City sio team ya kutisha kabisa,hata bila beki bado Liverpool wanamuweza
Kipa wangu kakupa hii game,hata nyie mnajua
Lkn ndiyo soka
Hahaaaaa

Mkuu bado unataka kukutana na city tena

Omba uefa tukutane .....
 
Back
Top Bottom