goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Amna kitu pale sikuiziAnfield easy sana tumeshinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna kitu pale sikuiziAnfield easy sana tumeshinda.
Na ww ukipigwa kubali
No excuse
Yeah mmecheza sana mpira.Keeper wangu give you a game!
Siku ya ubora wake hii mechi ningeshinda 1-0!
Bao la kwanza mpira rahisi sana kadaka kaachia
Bao la pili na tatu hadi aibu
Goli la nne kakwepa mpira
Anyway hongereni kwa ushindi lkn maneno yangu kama beki yenu haijawa tested leo yametimia!
Hingereni Citizen lkn team bora uwanjani Liverpool imepoteza mchezo
Kama hukumpa sipati picha unavyo umia rohoni baada ya matokeo haya.poleWakuu nina laki mbili hapa, nataka nimpe city mazima hapo jpili.
Baada ya mechi nne mbele tutaelewa zaid
Tunakosa sana penaltyPep Guardiola on #ManCity missing penalties: "Maybe I am going to think about Ederson taking it the next time."
HahaaaaaNadhani kipa wangu leo kapata tatizo la kisaikolojia!
Man City sio team ya kutisha kabisa,hata bila beki bado Liverpool wanamuweza
Kipa wangu kakupa hii game,hata nyie mnajua
Lkn ndiyo soka
Kama hukumpa sipati picha unavyo umia rohoni baada ya matokeo haya.pole
Vijana wamefanya walichoambiwa kukifanya na Guardiola leo hapo Anfield na kimefanyika kwa ufasaha.