The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Baada ya hipo

2018 robo final na Liverpool (hatukufuzu )

2019 robo final na spurs ( hatukufuzu )

2020 robo final na Lyon ( hatukufuzu )

2021 robo final na Dortmund (......)


Je historia inadanganya ?

Pep huwa anafeli wapi ,zote hizo yupo na man city ....
 
Kuhusu chelsea kumpelekea moto semi final fa ,sina wasiwasi kabisa ...

Huko Chelsea alipo anajuta kukutana na watoto Wa mjini Manchester..

ila kuhusu uefa Mimi binafsi nasema sitashangaa kumuona pep akiaga mashindano ,ila kama atakuwa ametupa EPL ,fa ,carabao ni nzuri ...


Spurs ..


Lyon ...

Sasa Dortmund ..

pep kuvuka robo final uefa ni mtihani ,sijui kama ameshajua anakoseaga wapi ..
Ishu ilikuwa kutokupanga kikosi chake ambacho ndo bora.
Ama kubadili formations siku 2 kabla ya big game.
Ila kwa sasa ameamua acheze 4/3/3
Ambayo mwisho wasiku ni beki tatu full back anacheza kama DM.
Naona habadilishi sana kwa sasa na ndo inampa sana matokea.
Ngoja tuone kama atapagawa tena.
Labda itokee majeruhi baada ya hizi mechi za kimataifa
 
ilikuwa 2017 ,uefa round ya 16

Man city vs Monaco ( enzi mbape na kina fabi ,falcao wapo )


Pep kama kawaida alishinda 5-3

Tulivoenda Monaco ,ndio nikajua kuwa kocha wetu linapokuja swala na knock out stage ,basi mbinu zinamwishia ,sikutegemea kabisa kwa iyo aggregate tungeweza kutolewa uefa ...

Mbape akaweka kambani dakika ya 8 ..

Nikajua sio shida ,maana aguero ,sterling ,sane ,kdb walikuwa moto ..

Mara fabinho wayaa dakika 27 ...


Aisee sane akatuokoa ,maana aggregate ilikuwa 5-5 ...


Siku nilipomchukia otamend ,mwanaharamu yule alipuuzia Mpira wa kichwa ,ukatua kichwani mwa bakayoko na kutupia goli aggregate 6-6 ,tukatolewa kwa goli LA ugenini ...

Kilichofuata baada ya hapo ,pep kufika semi final uefa imekuwa sawa na punda kupita kwenye tundu LA sindano ...
Beki zilikuwa tatizo sana kipindi kile.
Pia kuna ishu bado ya kuruhusu goli za mapema kwenge big matches na zenye umuhimu.
Liverpl alipotutoa ndan ya dkika 20 za mwanazo alipafa goli tatu mpaka tulipotulia game ikaisha 3 bila anfield
 
Tukianzia kwenye clean sheet umetuzidi moja tu huoni bado wewe ni underdog tu? Kwa sasa kuifunga Chelsea itakuwa ni jambo la kushangaza.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kubishana na mtu Wa Chelsea ni kupoteza muda ...

City level zetu ni buyern ,PSG huko ndio tunawasubili ...


Nyie Chelsea tunakamilisha tu ratiba ya kuwatembezea fimbo na kuvunja hilo daraja LA hapo London ....
 
[emoji599] BREAKING NEWS [emoji599]

They have also announced a statue of him will be built outside the Etihad Stadium.

[emoji471] Premier League x 4
[emoji471] FA Cup x 1
[emoji471] League Cup x 5
[emoji471] Olympic Gold x 1
[emoji471] Premier League POTM x 7
[emoji1624] Appearances - 500
[emoji460]️ Goals - 278

A Man City legend, a Premier League legend [emoji122]

Sergio Aguero is leaving Man City [emoji112] | @Mmsporthq
 
Aguero will leave the club as its all-time leading goalscorer having notched 257 goals in 384 appearances. He also has more hat-tricks than anyone in Premier League history.
.
Manchester City chairman Khaldoon Al Mubarak:
[emoji187] “... It gives me great pleasure to announce that we will be commissioning an artist to create a statue of Sergio to live at the Etihad Stadium alongside the ones under construction for Vincent and David.”
.
[emoji187] “And we look forward to the opportunity to bid Sergio a fitting farewell at the end of the season.”
.
#MCFC [emoji838][emoji836]️[emoji471]
mancity-20210330-0002.jpg
 
Back
Top Bottom