Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787] Bro unafurahisha hv ata kwa current form huoni mm nakuongozaNyie kwa sasa ni underdog kwetu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ishu ilikuwa kutokupanga kikosi chake ambacho ndo bora.Kuhusu chelsea kumpelekea moto semi final fa ,sina wasiwasi kabisa ...
Huko Chelsea alipo anajuta kukutana na watoto Wa mjini Manchester..
ila kuhusu uefa Mimi binafsi nasema sitashangaa kumuona pep akiaga mashindano ,ila kama atakuwa ametupa EPL ,fa ,carabao ni nzuri ...
Spurs ..
Lyon ...
Sasa Dortmund ..
pep kuvuka robo final uefa ni mtihani ,sijui kama ameshajua anakoseaga wapi ..
Beki zilikuwa tatizo sana kipindi kile.ilikuwa 2017 ,uefa round ya 16
Man city vs Monaco ( enzi mbape na kina fabi ,falcao wapo )
Pep kama kawaida alishinda 5-3
Tulivoenda Monaco ,ndio nikajua kuwa kocha wetu linapokuja swala na knock out stage ,basi mbinu zinamwishia ,sikutegemea kabisa kwa iyo aggregate tungeweza kutolewa uefa ...
Mbape akaweka kambani dakika ya 8 ..
Nikajua sio shida ,maana aguero ,sterling ,sane ,kdb walikuwa moto ..
Mara fabinho wayaa dakika 27 ...
Aisee sane akatuokoa ,maana aggregate ilikuwa 5-5 ...
Siku nilipomchukia otamend ,mwanaharamu yule alipuuzia Mpira wa kichwa ,ukatua kichwani mwa bakayoko na kutupia goli aggregate 6-6 ,tukatolewa kwa goli LA ugenini ...
Kilichofuata baada ya hapo ,pep kufika semi final uefa imekuwa sawa na punda kupita kwenye tundu LA sindano ...
Tukianzia kwenye clean sheet umetuzidi moja tu huoni bado wewe ni underdog tu? Kwa sasa kuifunga Chelsea itakuwa ni jambo la kushangaza.[emoji1787][emoji1787] Bro unafurahisha hv ata kwa current form huoni mm nakuongoza
Kubishana na mtu Wa Chelsea ni kupoteza muda ...Tukianzia kwenye clean sheet umetuzidi moja tu huoni bado wewe ni underdog tu? Kwa sasa kuifunga Chelsea itakuwa ni jambo la kushangaza.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tukutane WembleyTukianzia kwenye clean sheet umetuzidi moja tu huoni bado wewe ni underdog tu? Kwa sasa kuifunga Chelsea itakuwa ni jambo la kushangaza.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mimi nasubiri mtu fainali Wembley game ishakwisha ile.Tukutane Wembley
Unashinda ushindi wa mashaka mashakaMimi nasubiri mtu fainali Wembley game ishakwisha ile.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
UEFA sijafungwa gema hata moja, FA sijafungwa game hata moja, halafu unadai nashinda kwa mashaka mashaka???? Aise mkuu angalia usijekutana na suprises [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unashinda ushindi wa mashaka mashaka