The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kevin de Bruyne: "Signing a man city contract extension until I’m 34 says it all. This is my way of thinking in the next four years I’ve got chances to win the pl, other trophies. I think this team is set up in such a good way that I think we can do that the next four years..."
 
Pep Guardiola on the pl title: “We have something unique: We have four games to get two points, one victory to achieve our third Premier League title in four years... We have to get it!

Chelsea mara ya mwisho kuchukue ligi sijui mwaka gan
 
Pep is the benchmark
Wanakuja makocha wao wanajaribu kushindana nae wanaflop.

Ilianza
pep vs Mourinho
Pep vs klopp
Now
Pep vs Tuchel

Wenzake wote washapigwa chini muache uyu maskio marefu na mbwembwe zake

Pep jana amesema hajaona cha ajabu sana kisichowezekanika ambacho amefanya tuchel
 
Pep piga hawa chelsea.
Waendelee na vita vya watoto vyakuingia top four
Keep them busy until the final.
Wasipumzishe wachezaji.
Tukiwafunga leo chelsea tutapunguza morari ya wachezaji wao.
Ambao ni wale wale tuu waliokuwa wanashinda sana mwanzoni mwa ukocha wa lampad
 
Pep is the benchmark
Wanakuja makocha wao wanajaribu kushindana nae wanaflop.

Ilianza
pep vs Mourinho
Pep vs klopp
Now
Pep vs Tuchel

Wenzake wote washapigwa chini muache uyu maskio marefu na mbwembwe zake

Pep jana amesema hajaona cha ajabu sana kisichowezekanika ambacho amefanya tuchel
Tutawasokomeza jiti hapo baadae. Huu uzi mtaukimbia.
 
Huna akili
Chelsea kuna beki pale ,hivi nyie Chelsea mna kitu gani hasa cha kuitisha city ..

Narudia tena ,Chelsea inacheza tu kwa morali ila haina wachezaji wenye uwezo na ubunifu uwanjan kama city ..

Chelsea ni underdog tu ,Hana kikosi chochote cha kuitisha city ..
 
Nataka niweke beting million 100 city anashida au mnasemaje wadau hii game hatoki mtu
 
Kwahiyo mmelidhika kwa kikosi mlicho weka? Isije kutokea baada ya mechi mnalalamika eti fulani hakucheza
 
Hili jukwaa ni la kituko sana, ety ww jamaa ndo mtetezi na msambaza taarifa wa hili jukwaa la wahuni [emoji23][emoji23][emoji23] uliwahi kuona wapi mtanzania shabiki wa man City.? Au haya mafanikio ya Pep ndo yalikudanganya.?
wewe huna akili kabisa utampangia mtu team ya kushabikia? je kama kaanza kushabikia ukubwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonaekana namna gani ulivo mweupe kichwan ,huna unalolijua kuhusu mpira ..

Unaonesha ujinga wako hadharani mkuu pole sana ..

Kwanini lakin unajivua nguo mbele ya kadamnasi namna hii ..


Kwamba man city haina fans ? Huoni kama wewe ndio kilaza ? Huoni mkuu ...!!!!
kama umezaliwa kipindi cha jakaya ni halali kabisa kuwa mshabiki wa man city
 
Back
Top Bottom