Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kiuhalisia yeye ni Arsenal, ila aliamua tu kujificha kwa Man City.Uzuri Pain killer huwa anajua kujificha siku kama hizi
Sasa huku nako moto unamuwakia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kiuhalisia yeye ni Arsenal, ila aliamua tu kujificha kwa Man City.
Atleast wameonyesha uhaiKDB ndani..
Haya ngoja tuone dk 10 zilizobaki
Tatizo lilianzia hapo[emoji23][emoji23]Sasa huku nako moto unamuwakia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KDB & grealishView attachment 1891010
Walete hao spurs sasa ...
Nimetoka uwanjan ,we are ready for EPL ,sasa champion tunaanza namna hii ...
Bring now spurs ,we gooo
Spurs leo anapigikaa hakuna namna nyingine zaidi ya kipigo ...
Leo pep anaweka full quad ,lazima tuchukue point 3
Plastic fans hata kutetea hoja kinafiki au kuchambua mechi mmeshindwa ila timu ikishinda huwa mnakuja kutusumbua kwenye nyuzi zetu.....
Mmeanza kusanya nguo kurudi kwenye timu zenu za zamani.
Hivi Man Shityee nayo ni timu kubwa??Wakubwa wote wameshinda bado sisi kesho