42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Arsenal ni ndugu zako ndio maana wote hamna uefa.Haya bwana. Pambaneni na Arsenal asikunyanganye nafasi ya 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arsenal ni ndugu zako ndio maana wote hamna uefa.Haya bwana. Pambaneni na Arsenal asikunyanganye nafasi ya 3
Ivi ungekuwa na 13 kama za Madrid ungejionaje?Arsenal ni ndugu zako ndio maana wote hamna uefa.
We ambaye hauna hata unajionaje?Ivi ungekuwa na 13 kama za Madrid ungejionaje?
Mimi nikiona mtu anashabikia Chelsea ,siwezi mtofautisha na kina mwijaku ...!Arsenal ni ndugu zako ndio maana wote hamna uefa.
Wewe na arsenal mna utofauti gani?Mimi nikiona mtu anadhabikia Chelsea ,siwezi mtofautisha na kina mwijaku ...!
Sisi kuchukua CL ni bonus .....tukitaka tunachukua tukitaka hatuchukua ....na hatuachi kutembeza fimbo kwenye timu uchwara kama Chelsea hapo epl...We ambaye hauna hata unajionaje?
Mkuu unajisikiaje kutoka kuongoza ligi hadi nafasi ya 3We ambaye hauna hata unajionaje?
Eti utake... kwani unadhani arsenal hataki kuchukua?Sisi kuchukua CL ni bonus .....tukitaka tunachukua tukitaka hatuchukua ....na hatuachi kutembeza fimbo kwenye timu uchwara kama Chelsea hapo epl...
Hahah... Man city na arsenal hamna utofautiMkuu unajisikiaje kutoka kuongoza ligi hadi nafasi ya 3
Kelele nyingi vitendo 0Hahah... Man city na arsenal hamna utofauti
Vitendo gani?Kelele nyingi vitendo 0
Kama wewe ni mwanaume ongoza ligiVitendo gani?
Wakati wanaume wanabeba Uefa we unashangaa tu
Huko shule ulienda kupoteza ada msee ,kama huwezi kutoafutisha kati ya champion of england ,na takataka Kama arsenal basi nisema wewe ni kilaza ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahah... Man city na arsenal hamna utofauti
Na wewe kama mwanaume beba uefaKama wewe ni mwanaume ongoza ligi
Uwezo tunao ,...kama unabisha Leta mkono tushindaneEti utake... kwani unadhani arsenal hataki kuchukua?
Uwezo haupo.
Tukikaa wanaume wa ulaya wewe tutakufukuzia mbali pamoja na arsenalHuko shule ulienda kupoteza ada msee ,kama huwezi kutoafutisha kati ya champion of england ,na takataka Kama arsenal basi nisema wewe ni kilaza ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uwezo wa kushiriki mnao ila siyo wa kubeba.Uwezo tunao ,...kama unabisha Leta mkono tushindane
Wewe Chelsea huna timu ,umebeba CL kwa bahati tu unakuja kutusumbua sisi wanaume .....Tukikaa wanaume wa ulaya wewe tutakufukuzia mbali pamoja na arsenal
Meza moja kwa kipi. Mimi hakuna kitu man city ananizidi.Wewe Chelsea huna timu ,umebeba CL kwa bahati tu unakuja kutusumbua sisi wanaume .....
Chelsea wewe level zako na Newcastle huko ,....
Wewe huna uwezo wa kukaa meza moja na man city
Unachokipigia kelele sikioni. Stress za kushushwaNa wewe kama mwanaume beba uefa