The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sisi kuchukua CL ni bonus .....tukitaka tunachukua tukitaka hatuchukua ....na hatuachi kutembeza fimbo kwenye timu uchwara kama Chelsea hapo epl...
Eti utake... kwani unadhani arsenal hataki kuchukua?

Uwezo haupo.
 
Hahah... Man city na arsenal hamna utofauti
Huko shule ulienda kupoteza ada msee ,kama huwezi kutoafutisha kati ya champion of england ,na takataka Kama arsenal basi nisema wewe ni kilaza ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tukikaa wanaume wa ulaya wewe tutakufukuzia mbali pamoja na arsenal
 
Wewe Chelsea huna timu ,umebeba CL kwa bahati tu unakuja kutusumbua sisi wanaume .....

Chelsea wewe level zako na Newcastle huko ,....

Wewe huna uwezo wa kukaa meza moja na man city
 
Meza moja kwa kipi. Mimi hakuna kitu man city ananizidi.
 
Back
Top Bottom