The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Weka kikosi chako hapa chote ,then linganisha na kikosi chetu mbwa wewe ,uone kama Chelsea ni Timu ya kujilinganisha na city
Kikosi hicho hicho nimekisokomeza mara 3 na kubeba kombe yake. Sasa si takataka hizo?
 
Hivi Chelsea ilivo timu ya kawaida ,sijui hata wanajivunia Nini ,hawana timu ,kocha ni zero brain ,hawana hata mchezaji anaeweza kuja kwenye kikosi chetu ....

Sasa mnatuzidi Nini nyie chelsea ,
 
Nyinyi kunguni hiki kigroup tukifunge haiwezekani kiwe kimedoda hivi.

Tunapeleka muswada kwa Mods
 
Hivi Chelsea ilivo timu ya kawaida ,sijui hata wanajivunia Nini ,hawana timu ,kocha na zero brain ,hawana hata mchezaji anaeweza kuja kwenye kikosi chetu ....

Sasa mnatuzidi Nini nyie chelsea ,
Aje kwenye kikosi chenu kufanya nn kwa mfano.

Timu takataka kama man city ya nini?
 
Aje kwenye kikosi chenu kufanya nn kwa mfano.

Timu takataka kama man city ya nini?
Huna timu wewe mzee ,katafute timu ya kujilinganisha nayo na sio the champion city .....

Litimu linaendeshwa kibahati bahati ,then sijui linataka battle na city ....huoni hata aibu wewe jamaaa ,tafuta level zako msee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Aje kwenye kikosi chenu kufanya nn kwa mfano.

Timu takataka kama man city ya nini?
Chelsea Mimi naonaga ni sawa na singida united ,hamna kitu kabisa ...yanaetembelea bahati za kushinda CL against the best team buyern Munich na Manchester city ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
si ubebe na weee
 
Huna Timu ,huna hadhi ,Wala huwezi kujilinganisha na city .....

Chelsea ni underdog tu ...nyie ni sisi ni mbingu na ardhi msee ,...pole sana
mna majina hamna timu. Hadhi gani na hauna ucl. Takataka tu

Mbuzi nyinyi
 
.
IMG-20211223-WA0043.jpg
 
Back
Top Bottom