Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Tunashiriki na tutabeba .....sisi hatutaki makombe ya kubahatisha bahatisha kama nyie ....we want to win real title ...!Uwezo wa kushiriki mnao ila siyo wa kubeba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashiriki na tutabeba .....sisi hatutaki makombe ya kubahatisha bahatisha kama nyie ....we want to win real title ...!Uwezo wa kushiriki mnao ila siyo wa kubeba.
Kigroup chenu kimedoda hiki.Unachokipigia kelele sikioni. Stress za kushushwa
Weka kikosi chako hapa chote ,then linganisha na kikosi chetu mbwa wewe ,uone kama Chelsea ni Timu ya kujilinganisha na cityMeza moja kwa kipi. Mimi hakuna kitu man city ananizidi.
Kombe la kubahatisha? Hapo ndio uwezo wako ulipoishia.Tunashiriki na tutabeba .....sisi hatutaki makombe ya kubahatisha bahatisha kama nyie ....we want to win real title ...!
Kikosi hicho hicho nimekisokomeza mara 3 na kubeba kombe yake. Sasa si takataka hizo?Weka kikosi chako hapa chote ,then linganisha na kikosi chetu mbwa wewe ,uone kama Chelsea ni Timu ya kujilinganisha na city
Aje kwenye kikosi chenu kufanya nn kwa mfano.Hivi Chelsea ilivo timu ya kawaida ,sijui hata wanajivunia Nini ,hawana timu ,kocha na zero brain ,hawana hata mchezaji anaeweza kuja kwenye kikosi chetu ....
Sasa mnatuzidi Nini nyie chelsea ,
Unateseka ukiona jina MAN CITYNyinyi kunguni hiki kigroup tukifunge haiwezekani kiwe kimedoda hivi.
Tunapeleka muswada kwa Mods
Huna timu wewe mzee ,katafute timu ya kujilinganisha nayo na sio the champion city .....Aje kwenye kikosi chenu kufanya nn kwa mfano.
Timu takataka kama man city ya nini?
Chelsea Mimi naonaga ni sawa na singida united ,hamna kitu kabisa ...yanaetembelea bahati za kushinda CL against the best team buyern Munich na Manchester city ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aje kwenye kikosi chenu kufanya nn kwa mfano.
Timu takataka kama man city ya nini?
si ubebe na weeeChelsea Mimi naonaga ni sawa na singida united ,hamna kitu kabisa ...yanaetembelea bahati za kushinda CL against the best team buyern Munich na Manchester city ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huna Timu ,huna hadhi ,Wala huwezi kujilinganisha na city .....si ubebe na weee
mna majina hamna timu. Hadhi gani na hauna ucl. Takataka tuHuna Timu ,huna hadhi ,Wala huwezi kujilinganisha na city .....
Chelsea ni underdog tu ...nyie ni sisi ni mbingu na ardhi msee ,...pole sana
Ajax ana CL 4 wewe mbwa una 2 ,CL ni kombe la kawaida tu ambalo hata sulzburg anaweza chukua mwaka huu....!mna majina hamna timu. Hadhi gani na hauna ucl. Takataka tu
Mbuzi nyinyi
Mbuzi wewe... unataja vipabu vyenzako kwamba wanazo kadhaa mbona huna hata moja?Ajax ana CL 4 wewe mbwa una 2 ,CL ni kombe la kawaida tu ambalo hata sulzburg anaweza chukua mwaka huu....!