Hamuwezi kubeba hiyo nyota hamna.Etihad msimu huu ni wetu.
UCL na EPL
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuwezi kubeba hiyo nyota hamna.Etihad msimu huu ni wetu.
UCL na EPL
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
UkrainianZIN[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2186746
Nyota anayo nan Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamuwezi kubeba hiyo nyota hamna.
Poleeeeh kwa kuteseka.Hamuwezi kubeba hiyo nyota hamna.
Felipe yule mbwa alitaka kumuumiza fodeni.....kiufupi Jana tulizidiwa Sasa ikabidi na sisi tucheze kihuni maana atletico ni wahuni wale balaa .... wanacheza technical fouls wanaumiza wachezaji wetu hawapewi hata red ,foden akaanza kucheza na muda ......
Pep Huwa ni muongo muongo,hapo Kwa kdb siamini.Kevin De Bruyne is set to miss Manchester City's FA Cup semi-final showdown with Liverpool due to an ankle injury... with Kyle Walker also expected to be absent as Pep Guardiola counts the cost of his side's bruising win over Atletico Madrid.
View attachment 2187860
Uhuni walio kuwa wanafanya atletico kwenye knock out stage miaka yote ya nyuma ,tumewaonesha na sisi kuwa tunaweza uhuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Atletico yalimuuzima kDB mkuu ...!Pep Huwa ni muongo muongo,hapo Kwa kdb siamini.
Kiufupi ni kwamba tulisahau kabisa kucheza mpira ,wametushambulia Sana ,lakini hawakuwa wakatili golini kwetu ...! Tulicheza vibaya lakin tumequalifie na ndio inatakiwa ...huwezi kuwa Bora kila game sometimes unakuwa out of form na ukiona una win ukiwa out of form jua kuwa ....ni tabia ya timu zinazoelekea kuchukua ubingwaUkicheza hivi hovyo huwezi mtoa Madrid,sikuamini Atletico kuwa mzuri mara dufu zaidi yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uhuni walio kuwa wanafanya atletico kwenye knock out stage miaka yote ya nyuma ,tumewaonesha na sisi kuwa tunaweza uhuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Hawatakiwi kukosa, afu mbna Jesus hakucheza kisa nn?Felipe yule mbwa alitaka kumuumiza fodeni.....kiufupi Jana tulizidiwa Sasa ikabidi na sisi tucheze kihuni maana atletico ni wahuni wale balaa .... wanacheza technical fouls wanaumiza wachezaji wetu hawapewi hata red ,foden akaanza kucheza na muda ......
Aisee Bado sijajua injury ya kDB na walker inaendeleje ...Hawa tunawahitaji kwa namna yeyote ile na Liverpool....!
Msimu huu ni kupambana na kila kombe hakuna sijui tunafocus na Epl ,lazima tumenyane na Liverpool jumamosi ipasavyo .....
Come on city