The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Itaendelea kuteseka mpaka mwisho wa dunia ,utaishi na maumivu makali Sana ,maana ze cityzen ni kama maji pale england,usipoyaoga utakunywa tu .....[emoji28]

Soon halaand anatua Sasa ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] salah wao ameanza kuwatesa kihisia, wanachanganyikiwa.
 
imagine next season .!!![emoji14][emoji14][emoji91][emoji91][emoji91]
mancityworld-20220509-0001.jpg
 
HERE WE GO! [emoji2956]

Erling Haaland to Manchester City, here we go! Haaland has passed medical tests as new Man City player today, he’s back in Dortmund. It will be official this week.

Man City told BVB board that they will activate release clause [closer to €60m than €75m] in few hours.
mancity_mcfc-20220509-0001.jpg
 
[emoji294]️ | Haaland > City: 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎!

Erling Haaland will officially join Man City, done deal and paperworks ready: here we go! [emoji838][emoji1666]

[emoji541] Haaland has completed first part of medical tests in Belgium today with Man City doctors.

[emoji407] Paperworks are now ready to be signed after talks at final stages since 3 weeks with City board.

[emoji294]️ Man City told Borussia Dortmund that they will officially activate the release clause [lower than rumoured €75m] this week.

[emoji599] The official announcement will take place this week with both City and BVB to confirm transfer after release clause activated.

[emoji1310] Haaland and his family both want announcement to be this week to say farewell to Borussia Dortmund fans in the best way, as they’ve been great to him.

[emoji416] Erling Haaland’s salary agreed with Manchester City won’t go beyond the level agreed with Kevin De Bruyne, worth around £375,000 per week.

[emoji1666] Haaland will sign with Man City until June 2027.



…and good luck, @erling.haaland! [emoji1306]
fabriziorom-20220509-0001.jpg
 
Yaani we unafikiri huyu analetwa ili mshinde EPL na zile mickey mouse cups. PEP akikosa uefa Msimu ujao lazima kibarua kiote nyasi
Pep kashasema hajaja kushinda uefa tu ,na Wala sio lazima yeye ashinde CL , kama yeye hayupo vzuri kuchukua CL watachukua manager wengine lakini wewe kigagura umekaza fuvu [emoji28][emoji28]
 
Pep kashasema hajaja kushinda uefa tu ,na Wala sio lazima yeye ashinde CL , kama yeye hayupo vzuri kuchukua CL watachukua manager wengine lakini wewe kigagura umekaza fuvu [emoji28][emoji28]
Basi kama ana amini hivyo ajiandae kufurushiwa virago. EPL hata Mancini na Pellegrini waliibeba
 
Basi kama ana amini hivyo ajiandae kufurushiwa virago. EPL hata Mancini na Pellegrini waliibeba
Wewe si mansour banaaa[emoji28][emoji28][emoji28]

Ni manager gan ambaye alikwambia anauhakika wa kubeba UEFA ? Na nilazima abebe akisajiliwa ..!!!
 
Wewe si mansour banaaa[emoji28][emoji28][emoji28]

Ni manager gan ambaye alikwambia anauhakika wa kubeba UEFA ? Na nilazima abebe akisajiliwa ..!!!
Sasa kama Mansour ataki UEFA aliwatimua Mansini na Pellegrini ili iweje
 
Sasa kama Mansour ataki UEFA aliwatimua Mansini na Pellegrini ili iweje
Unajua wewe jmaa ni mpumbavu ,Tena mjinga kiwango cha stg ...

Pep unasema ni failure..

Anauwezo wa kukupa epl back to back ,kitu ambacho man utd pamoja na kutumia pesa kibao wameshindwa haio ndio makocha walio feli sawa boya wewe .....

Anahakika wa kumaliza top 4 kwa city sio swala la kuhoji,swala ambalo Kuna timu kibao kubwa zinaota pamoja na kutumia hela kubwa kusajili .....hao ndio manager walio feli ....

Anahakikisha anamaliza msimu na kikombe hii haijalishi ,kitu ambacho Kuna timu kubwa zinatoka bila kikombe ....

Kashaiweka city level za kimataifa ,saizi kushiriki CL sio swala la kuuliza ..!

Unaweza kuhisi city hajawahi kucheza Europa [emoji28]kwani speaker za pale etihadi zimeshakaliki tone ya wimbo wa CL ....

Embu naomba niambia kocha ambaye anaweza kuiweka timu kwenye hio peak Tena england Bado ukasema ni failure?????

Harafu mbwa mmoja anamjaji pep kwa kutochukua CL na city,ni manager gani anauhakika wa kuwin CL ,mbona unakuwa mjinga wewe jamaa ,city ipo kwenye peak ni swala to la marekebisho madogo kuendelea kupigania CL ,Leo unataka aje manager gani ? Wewe ni fala Sana mbwa kabisa ....!

Kuchukua CL lazima udominate epl as much you can and one day tutakuwa na kikosi cha kuenda moja kwa moja kuchukua CL ...!


Wewe mpumbavu umekaza fuvu et pep aondoke ,ila psychology yako inaonesha kuwa ,pamoja na Liverpool kuwa na kikosi kizuri kila idara ,viwango vya kila namna mmeshindwa kushindana na pep Sasa mnaona ili muweze kudominate epl kama mnavofikilia ni lazima pep aondoke .....

Nawambia tu pep Bado yupo Sana ,na kama mlifikili huu ni wakati wenu Liverpool,basi mnabahati mbaya Sana Kwan mmekutana na kipindi kigumu mno [emoji28]

Cha mhimu pambana na timu yako kijana ,maswala ya kukaza fuvu et pep anatakiwa kuondoka kwa manufaa ya Liverpool utasubili Sana ......maana hapo england bila pep kloop angeiweka epl kwenye mfuko ....!
 
Back
Top Bottom