cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Poleeeeeeh. Meza wembe. UwiiiiihYani hili Litimu lenu ninavyolichukia [emoji51]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Poleeeeeeh. Meza wembe. UwiiiiihYani hili Litimu lenu ninavyolichukia [emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] salah wao ameanza kuwatesa kihisia, wanachanganyikiwa.Itaendelea kuteseka mpaka mwisho wa dunia ,utaishi na maumivu makali Sana ,maana ze cityzen ni kama maji pale england,usipoyaoga utakunywa tu .....[emoji28]
Soon halaand anatua Sasa ,
Alikuepo AGUERO hapo itakuwa huyo injury prone.imagine next season .!!![emoji14][emoji14][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2218025
Next season tutawaonesha nani anamiliki england [emoji28][emoji28]Alikuepo AGUERO hapo itakuwa huyo injury prone.
Lukaku mpya.Alikuepo AGUERO hapo itakuwa huyo injury prone.
Yaani we unafikiri huyu analetwa ili mshinde EPL na zile mickey mouse cups. PEP akikosa uefa Msimu ujao lazima kibarua kiote nyasiNext season tutawaonesha nani anamiliki england [emoji28][emoji28]
Naona specialist in failure anajipa matumaini
Man shity uwezo wenu ndo umeishia hapo kuwaonea wavulana wa EPL ila kule Kwa wanaume wa UEFA hamwezi kitu5-0
FT
Pep kashasema hajaja kushinda uefa tu ,na Wala sio lazima yeye ashinde CL , kama yeye hayupo vzuri kuchukua CL watachukua manager wengine lakini wewe kigagura umekaza fuvu [emoji28][emoji28]Yaani we unafikiri huyu analetwa ili mshinde EPL na zile mickey mouse cups. PEP akikosa uefa Msimu ujao lazima kibarua kiote nyasi
Basi kama ana amini hivyo ajiandae kufurushiwa virago. EPL hata Mancini na Pellegrini waliibebaPep kashasema hajaja kushinda uefa tu ,na Wala sio lazima yeye ashinde CL , kama yeye hayupo vzuri kuchukua CL watachukua manager wengine lakini wewe kigagura umekaza fuvu [emoji28][emoji28]
Wewe si mansour banaaa[emoji28][emoji28][emoji28]Basi kama ana amini hivyo ajiandae kufurushiwa virago. EPL hata Mancini na Pellegrini waliibeba
Najua ni mateso kwenu ,huna furaha kabisa [emoji28]Mumepigwaaaaaaaaaaaaaaaa
New Grealish in town
New Sancho in town
New Pulisic in town
New Morata in town
New Werner in town
Sasa kama Mansour ataki UEFA aliwatimua Mansini na Pellegrini ili iwejeWewe si mansour banaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni manager gan ambaye alikwambia anauhakika wa kubeba UEFA ? Na nilazima abebe akisajiliwa ..!!!
Unajua wewe jmaa ni mpumbavu ,Tena mjinga kiwango cha stg ...Sasa kama Mansour ataki UEFA aliwatimua Mansini na Pellegrini ili iweje