The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Eti Pep amefeli, sio kocha afukuzwe ili aje kocha mwingine alete kombe la CL.
Screenshot_20220511_104544.jpg
 
Eti Pep amefeli, sio kocha afukuzwe ili aje kocha mwingine alete kombe la CL. View attachment 2220150
Anaye mdharau Pep akapimwe akili,Pep alikuja pale Man City kuondoa ufarume wa akina Man U, kitu ambacho amefanikiwa Man U kaisha fukuza makocha kibao na kuajiri kibao ili waweze kushindana na Pep lakini wote wameangukia pua,UCL ni swala la mda maana sasahivi amesha seti sitandard,tena naomba haongezewe miaka 5 tuendelee kufuraia burudani
 
Muda ukifika watachukua.Achana nao.Sidhani kama inaweza kufikaa 2030 Man city bila kubeba UCL.
Kuhusu Pep kafanya revolution kubwa kwa Man city kwenye UCL,Mwanzoni Man city ilikuwa haivuki hatua ya mtoano.Lakini chini ya Pep angalau timu inasogea mpaka nusu fainali. Kuhusu Uingereza,ukweli usemwe tu,Pep katawala,Hata msimu huu inaonekana hakuwa serious na makombee ya FA na Carling cup, Seems alikuwa ame base kwenye UCL kwa % kubwa na EPL lakini bahati haikuangukia kwake huko kwenye UCL. Ndo maana Sasa hivi ana pambana na EPL kama second priority baada ya first priority kubuma.Lakini kama angekuwa serious kote alikuwa ana uwezo wa kusomba vikombe viwili au vitatu vya Uingereza,Ngao,EpL, Fa. Lakini ndo hivyo.Pep apewe heshima yake Uingereza
Hata Pellegrini alifika nusu fainali Mwaka 2016
 
Anaye mdharau Pep akapimwe akili,Pep alikuja pale Man City kuondoa ufarume wa akina Man U, kitu ambacho amefanikiwa Man U kaisha fukuza makocha kibao na kuajiri kibao ili waweze kushindana na Pep lakini wote wameangukia pua,UCL ni swala la mda maana sasahivi amesha seti sitandard,tena naomba haongezewe miaka 5 tuendelee kufuraia burudani
Uwo ufalme wa Mwanitesa utd haujaondolewa na PEP. Mwanitesa Mara ya mwisho waliibeba 2013 wakati Pep kaja 2016/2017
 
Msimu wa 2020/2021 aliyetupa ubingwa naweza kusema ni gundo ,kDB alikuwa majeruhi lakin gundo aliuwasha moto kila game alikuwa anatupia ,[emoji28][emoji28][emoji28]am sure hufuatiliagi game za city

Sasa kama anauwasha moto kwanini asubiri mpaka itokee injury ndiyo apate namba? Si angechukua hata ya Rodri au Foden?
 
Anaye mdharau Pep akapimwe akili,Pep alikuja pale Man City kuondoa ufarume wa akina Man U, kitu ambacho amefanikiwa Man U kaisha fukuza makocha kibao na kuajiri kibao ili waweze kushindana na Pep lakini wote wameangukia pua,UCL ni swala la mda maana sasahivi amesha seti sitandard,tena naomba haongezewe miaka 5 tuendelee kufuraia burudani

Wewe hujui hata Watu wanaongea nini alimradi nawewe uonekane umechangia! Ufalme wa Man U ulikuwa 2013, Pep kaja City 2016, sasa ufalme gani wa Man U Pep aliokuja kuuondosha wakati kaikuta Man U inashiriki Uropa League?
Hii Timu imejaa mishabiki ya ovyo.
 
Kubali tu mnamchukia pep bila sababu za msingi [emoji28]
 
Wewe hujui hata Watu wanaongea nini alimradi nawewe uonekane umechangia! Ufalme wa Man U ulikuwa 2013, Pep kaja City 2016, sasa ufalme gani wa Man U Pep aliokuja kuuondosha wakati kaikuta Man U inashiriki Uropa League?
Hii Timu imejaa mishabiki ya ovyo.
Pamoja na hayo ya Man U kushiriki Uropa league bado au kukosa vyote,bado Man U ni timu kubwa yenye mashabiki wengi sana pale England zaidi ya Man City na Man City alikuwa under dog kwa Man U,kitu ambacho Pep amekimpunguza kama sio kukiondoa kabisa, Sasahivi Man City niabari ya njini pale England,kila timu inayokuja kukutana nayo lazima ijianda,harafu mnasema Pep kaferi kisa hajachukua UCL,Sisi mashabiki tunataka burudani kwanza UCL badae,kitu ambacho Pep anatoa.
 
Leo wakala wa Jesus alikuwa anaongea na uongozi wa arsenal anasema mazingumzo yanaenda vzuri so anaweza kutua arsenal soon ....!
 
Man City will never win Champion League untill Haaland, De Bruyne and Zinchenko accept Brock Lesnar 👇as their father.
20220511_212044.jpg
 
Oooh mara wolves atawafunga ona Sasa wanapojificha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
kDB[emoji460][emoji460][emoji460][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
De bruyne leo anawavuruga Wolves km hawajui yaan, [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii sub ya ...

Frenandihno out

Mahrez in

Nimeshindwa kuielewa ,ukiachana na false 9 ,Kuna siku pep atachezesha false midfielder walahi [emoji23]
 
Back
Top Bottom