cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kareeeeeh. [emoji56][emoji56][emoji56].uzi mpya next season..!View attachment 2230644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kareeeeeh. [emoji56][emoji56][emoji56].uzi mpya next season..!View attachment 2230644
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] na nyiee huyo Vin anakuja kuwaweka moto.Huyu akimuona Vinicius Jr tu basi tumbo linamuaka moto
Huyu bora abaki tyuuh pale city. Awwww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol.Liverpool ; man city wana beki mbovu sana,wanafungwa hovyo ,ila sisi tunaukuta haupitiki VVD na matip wako solid [emoji28]
Mtangazaji ; lakini Ederson ana cleen sheet nying sawa na Allison (20 clean sheet )
Liverpool ;. Huyo ederson Hana umahiri wowote anabebwa na beki ,wanabeki imara Sana man city ( dias , Laporte,stone ni solid defence) ndio zinambeba ederson ,lakin Allison ana save nyingi Sana [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amka ndotoni
Poleeeeeeeeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Nyumbu watoto 1
Vila 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla leo jogoo hajawika Steven Gerald atakuwa amemkana klop mara 3,na kombe wataliona hilo Etihad then walingoje after 30yrs.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi unalooooooo?Daaaah make hapo kwanza nicheke[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahKweli nyie majirani ni matakataka kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ninaandika ninafuta ...ninaandika ninafuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] panauma wapi?Nyumbu watoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mmelizwa myie.Kudadeki,mmeponea chupuchupu, tungewaliza leo [emoji23][emoji23]
WoyoooooooooooooooohWaoo[emoji14][emoji28]View attachment 2234786
Mwakan focus n UCL.Oyoooooo sisi ndio champions ,hatutarudia tena kukaribiana points na timu yeyote ile maana ilikuwa kidogo tu tuachie kombe
Sasa tuna best player HAALAND
So wakae kwa kutulia
Misimu yote ijayo kombe litakuwa letu
Epl ishakuwa yetu
Mbinde ni kwenye UEFA tu hapo mambo ndio huwa magumu
Hapo kwa Jesus akibaki mie full burudaaan. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Mahrezi Leo hakuwa kwenye form ...
Benardo silva Leo hakuwa kwenye form ...
Sub ya bernado na gundogan ilikuwa karata turufu Sana Leo ,pep kafanya maamuzi mapema ....!
Pamoja na gundo kutupa epl ,anaweza kuondoka na msimu ujao sidhani kama atakuwepo city...
Haaland next season yupo ..
Tunahitaji RB wa kusaidizana na walker maana daaa frenandihno anapewa majukumu amabayo sio yake kabisa ....
Ndihno anaondoka msimu huu ,not bad kwan umri unaenda ,Tunahitaji DM kuziba nafasi yake .....
Arsenal hawana hela za kumchukua Jesus naona akibaki city ,£55million wameshindwa kuzitoa kwa Jesus ....
Bado tupo kwenye peak ,next season tunaenda kulitetea Tena taji letu ....
Polen Sana liverpool ,mna PL 1 Toka epl ianze 1992 [emoji28][emoji28][emoji28]nawakumbusha tu si kwa ubaya
Unaumia mnoooo, poleeeeeh sana.Shabiki mmoja anajitekenya na kucheka mwenyewe, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Villa ni wagumu Sana ,ukilinganisha ni kama vile Gerrard alikuwa kashapewa mbinu na klopp namna ya kuhakikisha anatushika ili Liverpool achukue ubingwa ...!Nimefurahi kuchukua EPL Nina amani kabisa
Ila kocha anaihitaji kuwa makin na wachezaji wake
Jana kilicho mkuta Aston Villa ndio kilicho tukuta na Madrid kwenye uefa
Yaani unafanya sub ya kutoa mzuri unamwingiza ambae hana uzuri wowote
Villa walimtoa continho ndio gemu ilibadilika
Sisi kwenye uefa tumtoa juses na kdb ndio madhara yalipo tukuta
Ni lazima tuone umhimu wa kusajiri watu watakao tupa matokeo mapema
Ni kweli ila naona alikutana na kitu kizitoVilla ni wagumu Sana ,ukilinganisha ni kama vile Gerrard alikuwa kashapewa mbinu na klopp namna ya kuhakikisha anatushika ili Liverpool achukue ubingwa ...!
Game yao na Burnley katikati ya week kina FC ,INGS ,Watkin wote walikuwa wamepumzika ...
Kiufupi Jana gerrad alikuwa amepania kuwapa furaha Liverpool,ili azidi kujichukuli maujiko akitoka klopp Liverpool aende yeye [emoji28]...
Kwa hiyo haikuwa rahisi kabisa ....