The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Liverpool ; man city wana beki mbovu sana,wanafungwa hovyo ,ila sisi tunaukuta haupitiki VVD na matip wako solid [emoji28]

Mtangazaji ; lakini Ederson ana cleen sheet nying sawa na Allison (20 clean sheet )

Liverpool ;. Huyo ederson Hana umahiri wowote anabebwa na beki ,wanabeki imara Sana man city ( dias , Laporte,stone ni solid defence) ndio zinambeba ederson ,lakin Allison ana save nyingi Sana [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol.
 
Kabla leo jogoo hajawika Steven Gerald atakuwa amemkana klop mara 3,na kombe wataliona hilo Etihad then walingoje after 30yrs.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninaandika ninafuta ...ninaandika ninafuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Oyoooooo sisi ndio champions ,hatutarudia tena kukaribiana points na timu yeyote ile maana ilikuwa kidogo tu tuachie kombe
Sasa tuna best player HAALAND
So wakae kwa kutulia
Misimu yote ijayo kombe litakuwa letu
Epl ishakuwa yetu
Mbinde ni kwenye UEFA tu hapo mambo ndio huwa magumu
Mwakan focus n UCL.
 
Mahrezi Leo hakuwa kwenye form ...

Benardo silva Leo hakuwa kwenye form ...

Sub ya bernado na gundogan ilikuwa karata turufu Sana Leo ,pep kafanya maamuzi mapema ....!

Pamoja na gundo kutupa epl ,anaweza kuondoka na msimu ujao sidhani kama atakuwepo city...

Haaland next season yupo ..

Tunahitaji RB wa kusaidizana na walker maana daaa frenandihno anapewa majukumu amabayo sio yake kabisa ....

Ndihno anaondoka msimu huu ,not bad kwan umri unaenda ,Tunahitaji DM kuziba nafasi yake .....

Arsenal hawana hela za kumchukua Jesus naona akibaki city ,£55million wameshindwa kuzitoa kwa Jesus ....

Bado tupo kwenye peak ,next season tunaenda kulitetea Tena taji letu ....

Polen Sana liverpool ,mna PL 1 Toka epl ianze 1992 [emoji28][emoji28][emoji28]nawakumbusha tu si kwa ubaya
Hapo kwa Jesus akibaki mie full burudaaan. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Nimefurahi kuchukua EPL Nina amani kabisa

Ila kocha anaihitaji kuwa makin na wachezaji wake

Jana kilicho mkuta Aston Villa ndio kilicho tukuta na Madrid kwenye uefa

Yaani unafanya sub ya kutoa mzuri unamwingiza ambae hana uzuri wowote

Villa walimtoa continho ndio gemu ilibadilika

Sisi kwenye uefa tumtoa juses na kdb ndio madhara yalipo tukuta

Ni lazima tuone umhimu wa kusajiri watu watakao tupa matokeo mapema
 
Ten Hag: "I admire them both, Manchester City and Liverpool. They both play fantastic football. But you will always see an era come to an end." #mulive
 
Nimefurahi kuchukua EPL Nina amani kabisa

Ila kocha anaihitaji kuwa makin na wachezaji wake

Jana kilicho mkuta Aston Villa ndio kilicho tukuta na Madrid kwenye uefa

Yaani unafanya sub ya kutoa mzuri unamwingiza ambae hana uzuri wowote

Villa walimtoa continho ndio gemu ilibadilika

Sisi kwenye uefa tumtoa juses na kdb ndio madhara yalipo tukuta

Ni lazima tuone umhimu wa kusajiri watu watakao tupa matokeo mapema
Villa ni wagumu Sana ,ukilinganisha ni kama vile Gerrard alikuwa kashapewa mbinu na klopp namna ya kuhakikisha anatushika ili Liverpool achukue ubingwa ...!

Game yao na Burnley katikati ya week kina FC ,INGS ,Watkin wote walikuwa wamepumzika ...

Kiufupi Jana gerrad alikuwa amepania kuwapa furaha Liverpool,ili azidi kujichukuli maujiko akitoka klopp Liverpool aende yeye [emoji28]...

Kwa hiyo haikuwa rahisi kabisa ....
 
Ni kweli ila naona alikutana na kitu kizito
 
Back
Top Bottom