Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.Hii timu haina mvuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Hii timu haina mvuto
Bernado hawezi ondoka city ,Kuna interview nimeion juzi anasema yupo na furaha city na amekuwa na mahusiano mazuri na staff wote na team kwa ujumla ...!Ila tetesi za kwamba Bernado Silva Mapafu ya mbwa kwamba anaondoka, napata huzuni kabisa, sioni mtu wa kuziba nafasi yake.
[emoji16][emoji16][emoji16] pole mkuu naona unajichekesha tu mwenyewe.imagine [emoji14][emoji28]View attachment 2268091