Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Kati ya game nyepesi kabisa kwa city ni hii ya leo Klop atapoteana hujawahi kuona.Na ndio itakuwa mistake ya kwanza ,jack hawezi kuforce kwenda mbele ,kurudi nyuma kumsaidia cancelo inakuwa ngumu .... tegemea Liverpool wakiingia na high energy,pressing kalii Sasa jack anavopozaga mashambulizi unategemea Nini .....
Game ya Liverpool Leo ni Kama final ,baada ya kufungwa na arsenal,watakuwa hali mbaya zaidi Kama watapoteza game Leo ,hivyo basi usitegemee game nyepesi kabisa ...
Pale anfield ni pagumu ,Mara ya mwisho kushinda ni 4-1 na palikuwa hapana mashabiki kipindi Cha corona ...
Hii game Mimi naiona draw kabisa .....Kama tukishinda itakuwa bonus ,Kama unafuatilia game za Liverpool vs man city toka pep atue na klopp ,nitakushangaa sana ukiwa underrate Liverpool....
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app